muta ngegi
Senior Member
- Sep 7, 2016
- 167
- 129
Mkuu kwema! Naomba elezea kidogo hiyo Euro truck simulatorEuro truck simulator
Unaweza kuendasha magari nchi yoyote unayotaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwema! Naomba elezea kidogo hiyo Euro truck simulatorEuro truck simulator
Unaweza kuendasha magari nchi yoyote unayotaka
Hiyo ni aina ya kozi ya udereva ukimaliza tu unapata kibali cha kuendesha Nchi yoyote ya UlayaMkuu kwema! Naomba elezea kidogo hiyo Euro truck simulator
😂😂😂😂 mkuu kama unaongea ukweli vileHahaha Kuna maboya a.k.a makuku yanaenda kulizwa hapa🤣🤣🤣
Ingia GoogleMkuu kwema! Naomba elezea kidogo hiyo Euro truck simulator
RoliPicha ya nini?
Hahaha mtu ajilengeshe aone🤣😂😂😂😂 mkuu kama unaongea ukweli vile
Asante sana Kiongozi,wanasomea wapi kozi hiyoHiyo ni aina ya kozi ya udereva ukimaliza tu unapata kibali cha kuendesha Nchi yoyote ya Ulaya
Uu tuna office kama mtu uko interested karibu dm au njoo ofisini maana hapa hata ukija na mchongo wa maana watu hawachoki kupiga kelele ndio maana nimeleta tangazo tu, kwa mtu alie serious atakuja dm nitamuelekeza ofisi yetu ilipo, akiridhia tutaanza process.Ada ya kujisajiri ujaweka mkuu.....@
Wakenya tunawapeleka sana tatizo ndugu zetu watanzania ubishi na umaskini umejaa kichwani wanawaza kutapeliwa tu, kwani nimeweka dau hapa??? Office yetu ipo masaki tunalipa zaidi ya dollar 1500 kwa mwezi nije nitapeli makapuku humu, kiufupi wanahitajika madereva na kampuni hii tuna ubia nayo na sisi tunafaidika kulinga na idadi ya madereva tunao wapeleka europeHili dili limekaa poa saaana
Sasa utawasiliana vip na waajiri wako kama lugha sio muhimuLugha inahusika vipi?? Kinachohitajika ni skill
Isije kuwa JANGUSHOWale truck drivers wenye kauzoefu kiasi karibuni ofisini kwetu tuwaunganishe mkaendeshe trucks along europe, kampuni iko Lithuania mshahara ni kuanzia euro2300 plus bonus kutakuwa na training ya mwezi mmoja utalipwa kipindi chote cha training.
Vigezo
Leseni daraja CE
Police clearance
Mambo mengine tunaweza kudiscuss 0625965572 au fika ofisini kwetu piga nikuelekeze.
Angalizo
Walau uwe na kauzoefu sio hujui kila kitu.
Madereva wote karibuni.