Nafasi za kazi truck drivers Lithuania

Nafasi za kazi truck drivers Lithuania

Isije kuwa JANGUSHO
Mkuu njoo ofisini acha kuchafua kazi za watu, nilitegemea muulize maswali potential lkn wengi wenu mnawaza kuibiwa tu. Kampuni yangu ni legit na ina ubia na kampuni mbalimbali za ajira ulaya mashariki karibu ofisini masaki, kwa taarifa zaidi
 
Vip kuhusu swala la visa ama hiyo nchi free kuingia Bila visa?
 
Mkuu njoo ofisini acha kuchafua kazi za watu, nilitegemea muulize maswali potential lkn wengi wenu mnawaza kuibiwa tu. Kampuni yangu ni legit na ina ubia na kampuni mbalimbali za ajira ulaya mashariki karibu ofisini masaki, kwa taarifa zaidi
Mie nipo mamtoni
 
Attachments

  • 20240920_130110.jpg
    20240920_130110.jpg
    1,016.8 KB · Views: 6
Umeambiwa "walau uwe na kauzoefu"

Yaani ukaendeshe malori Ulaya kwa leseni ya kibongo ila uwe na "kauzoefu". Wakati kauzoefu hata gari la taka manispaa ya Ubungo hupewi 😂
Mkuu utafanyiwa training ukiwa Lithuanana ukifaulu utapewa leseni husika lakini kama umetoka huku na leseni ya mchongo utafeli, kwa taarifa zaidi karibu ofisini masaki. Lakini pia usifananishe opportunities ulaya na tanzania, binafsi nina ubia na kampuni za ajira ulaya mashariki na kuna uhitaji sana wa kazi, maana population kubwa ni wazee na vijana wengi wanakimbiallia ulaya magharibi so acha ubishi karibu ofisi uelimishwe, ulete na ndugu zako tuwape ajira
 
Kuna kiasi chochote cha pesa huyo dereva anatoa kabla ya kuanza kazi?
 
Asante sana Kiongozi,wanasomea wapi kozi hiyo
Njoo na leseni yako iwe CE, pamoja na police clearance, tutazituma taarifa zako Lithuania baada ya hapo zitatumwa Lithuania na utatumiwa job offer utafanya visa application pamoja na biometrix na visa yako itafanikiwa. Njoo ofisini kupata maelezo zaidi
 
Kuna kiasi chochote cha pesa huyo dereva anatoa kabla ya kuanza kazi?
Mkuu njoo ofisini maana hapa kelele ni nyingi, au basi piga simu kupata details zaidi. Visa sio bure so njoo ofisini kujua process lakini kampuni yetu haihusiki na gharama yoyote bali tunafaidika na idadi ya wafanyakazi tunaowapeleka ulaya.
 
Lithuamia moja ya shida itakuwa ni lugha
 
Mkuu njoo ofisini maana hapa kelele ni nyingi, au basi piga simu kupata details zaidi. Visa sio bure so njoo ofisini kujua process lakini kampuni yetu haihusiki na gharama yoyote bali tunafaidika na idadi ya wafanyakazi tunaowapeleka ulaya.
Nimeuliza kwa niaba ya wengine binafsi Nimewahi kupiga kazi Illinois kampuni inaitwa Martin Brower kwa saa wanalipa $47 nilifanya mwaka mmoja nikaachana na hiyo kazi, kazi ya kuendesha ma truck unazeeka haraka maana unakula sana junk food + upweke muda mrefu unakua peke yako kuangalia barabara sahivi nimerudi nyumbani kulima kwanza
 
Wazee kabla hamjamuita jamaa tapeli kwanini msiende ofisini kwake mkajiridhishe?
Binafsi nashangaa kwann wabongo ni wabishi wakati ni maskini wakutupwa?? Sijaomba hela hapa nimesema kama una ujuzi piga simu ujue office ilipo uje upate maelezo.
 
Nimeuliza kwa niaba ya wengine binafsi Nimewahi kupiga kazi Illinois kampuni inaitwa Martin Brower kwa saa wanalipa $47 nilifanya mwaka mmoja nikaachana na hiyo kazi, kazi ya kuendesha ma truck unazeeka haraka maana unakula sana junk food + upweke muda mrefu unakua peke yako kuangalia barabara sahivi nimerudi nyumbani kulima kwanza
Kuna watu wanauliza hapa kwann wazungu hawataki hizi kazi. Ninawaambia mzungu yupo europe kazi ni nyingi kwann afanye kazi ya truck??? Hizi kazi ni kusukuma box so tunahitaji watu wenye nia...ukipiga hela yako miaka mitatu unarudi kufanya maisha
 
Umeambiwa "walau uwe na kauzoefu"

Yaani ukaendeshe malori Ulaya kwa leseni ya kibongo ila uwe na "kauzoefu". Wakati kauzoefu hata gari la taka manispaa ya Ubungo hupewi 😂
Mbona ulaya pa kawaida sana?

Msiwe mnadanganya watu aisee!

Kama watu wakienda ofisini kwake ametoa namba watatoa ushuhuda kuwa ni tapeli,ila kama ni mkweli watasema pia.

Tusubiri tu.
 
Back
Top Bottom