Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Naomba linkJaribu Truckers of europe 3 utanishukuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba linkJaribu Truckers of europe 3 utanishukuru
Kwani mjomba mimi wapi nimesema wewe ni tapeli??? Nimekubali na nshakupigia tumeongeaMkuu
Wakenya tunawapeleka sana tatizo ndugu zetu watanzania ubishi na umaskini umejaa kichwani wanawaza kutapeliwa tu, kwani nimeweka dau hapa??? Office yetu ipo masaki tunalipa zaidi ya dollar 1500 kwa mwezi nije nitapeli makapuku humu, kiufupi wanahitajika madereva na kampuni hii tuna ubia nayo na sisi tunafaidika kulinga na idadi ya madereva tunao wapeleka europe
Utapeli huu tafuuta pesa kwa njia ya halaliWale truck drivers wenye kauzoefu kiasi karibuni ofisini kwetu tuwaunganishe mkaendeshe trucks along europe, kampuni iko Lithuania mshahara ni kuanzia euro2300 plus bonus kutakuwa na training ya mwezi mmoja utalipwa kipindi chote cha training.
Vigezo
Leseni daraja CE
Police clearance
Mambo mengine tunaweza kudiscuss 0625965572 au fika ofisini kwetu piga nikuelekeze.
Angalizo
Walau uwe na kauzoefu sio hujui kila kitu.
Madereva wote karibuni.
Kwamba nije ofisini Masaki au siyo......Siji kaka na siko interested by the way sina hako kauzoefu.......na sipendi kupigwaaa🤣🤣🤣Kaka nina ubia na kampuni husika sina njaa ndogo ndogo na kama uko interested njoo offisini masaki kupata taarifa kwa undani usipende kupiga kelele, karibu sana
Wakenya tumewapeleka wengi sana tatizo ndugu zetu watanzania hata kama unampango mzuri wa kusaidia vijana bado utaonekana tapeli tu, haya hiyo hapo barua iliyotumwa ofisini kwetu nayo watasema ni uongo. Anyways mwenye anajua anachokipigania atakuja ofisini kuelewa mchongo umekaaje wapiga mdomo wengi hawana vigezo.Mbona ulaya pa kawaida sana?
Msiwe mnadanganya watu aisee!
Kama watu wakienda ofisini kwake ametoa namba watatoa ushuhuda kuwa ni tapeli,ila kama ni mkweli watasema pia.
Tusubiri tu.
Sawa sawaVisa ni lazima wanatumia shenghen visa barua yako ya kazi ikishatumwa tutakusaidia kuapply
Mkuu naona ni kweli uko legit sasa mm Nina leseni class D na Nina degree je naweza kuja ofisini ili tufanye mchakato na wakati huo wa kusubiri process nakuta Niko veta kijifunza truck driving.?barua kutoka kampuni ya recruitment tuliyo na ubia nayo ni hiyo labda kama unaswala lingine karibu ofisini uelimishwe.
Njoo pia kuna michongo ya factories na construction jobs ulaya mashariki so unaweza usifit hii ishu lakni ukapata ishu nyingineMkuu naona ni kweli uko legit sasa mm Nina leseni class D na Nina degree je naweza kuja ofisini ili tufanye mchakato na wakati huo wa kusubiri process nakuta Niko veta kijifunza truck driving.?
Umenena.Njoo pia kuna michongo ya factories na construction jobs ulaya mashariki so unaweza usifit hii ishu lakni ukapata ishu nyingine
Mkuu kipande gani hiki?Mie nipo mamtoni
Ulaya wenyewe wanalalamika hamna kaziIna mana huko madereva?mpaka mje huko bongo