Nafasi za kazi truck drivers Lithuania

Asante sana Kiongozi,wanasomea wapi kozi hiyo
Training inafanyika Lithuania, ukifanikiwa utapewa kazi ukifeli utarudi bongo lakini kama una general driving experience utatoboa tu
 
Mk
Ada ya kujisajiri ujaweka mkuu.....@
Uu tuna office kama mtu uko interested karibu dm au njoo ofisini maana hapa hata ukija na mchongo wa maana watu hawachoki kupiga kelele ndio maana nimeleta tangazo tu, kwa mtu alie serious atakuja dm nitamuelekeza ofisi yetu ilipo, akiridhia tutaanza process.
 
Mkuu
Hili dili limekaa poa saaana
Wakenya tunawapeleka sana tatizo ndugu zetu watanzania ubishi na umaskini umejaa kichwani wanawaza kutapeliwa tu, kwani nimeweka dau hapa??? Office yetu ipo masaki tunalipa zaidi ya dollar 1500 kwa mwezi nije nitapeli makapuku humu, kiufupi wanahitajika madereva na kampuni hii tuna ubia nayo na sisi tunafaidika kulinga na idadi ya madereva tunao wapeleka europe
 
Isije kuwa JANGUSHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…