Nafikiri hivi ndivyo mambo yatakavyo kuwa kama ikitokea kwa asilimia kubwa ulimwengu ukawa chini ya influence ya Russia, China, Iran na marafiki zao

Trump atainyosha dunia,,kidogo katika utawala wake ataenda nao jino jino china iran na mkorea wata minywa ..uruss ataachwa apumue kivikwazo
 
Itakuwa vurugu isiyomothilika, waarabu wanaiunga mkono Iran kwa ajili ya Vita na Israel, bila Israel kuna nchi nyingi za kiarabu zinaichukia Iran... vurugu

Hakuna historia ya nchi ya mashariki ya mbali Kama China kuitawala Dunia, myth inakataa., Wachina ni bahiri kuliko watu wote duniani....Vurugu

China wanataka uchumi na uhusiano na mashariki ya Kati Ila wanauchukia na kuuogopa uislam, wakiwa super power...vurugu

Urusi Ina nguvu kubwa ya kijeshi, lakini zaidi ya hapo haina cha ku offer duniani mf technology, fedha nk, itabakia mikwara mbuzi tu...vurugu

Kinachowaunganisha Urusi, China na Irani ni chuki dhidi ya Israel, nje ya hapo watatwangana makonde hadharani...vurugu
Dunia itashuhudia vurugu ambazo hazijawahi kutokea tangu iumbwe
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…