1.Bongo Dar Es Salaam Prof Jay Ft Jaydee20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam
19: FA - Bado Nipo Nipo
18: Fid Q - Propaganda
17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio
16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee
15: AY - Raha Tu
14: Professor J - Hapo Sawa
13: Balozi -Kwenye Chati
12: Sugu - Wananiita Sugu
11: Professor J - Nikusaidiaje
10: Ngwair - Mitungi/Mikasi
9: Inspector Haroun - Mtoto wa geti kali
8: Jay Mo - Maisha Ya Boarding
7: X plastaz - Ushanta
6: Afande Sele -Darubini Kali
5: Sugu - Moto Chini
4: Kwanza Unit - Msafiri
3: Sugu - Mikononi mwa Polisi
2: Afande Sele - Mtazamo
1: Professor J -Zali la Mentali
Na ndio naingia jf nakutana na hii😂wifi yangu Lamomy naomba niitie kaka Countrywide muambie nasubiri list yake ya nguvu maana hip-hop ndiyo shughuli yake...
Kwenye top 20 za muda wote?mwana fa usije mjini
kwa upande wangu yesKwenye top 20 za muda wote?
Top 20 za muda wote kwa hii list yako knabidi uombe radhi kwa wana hip-hop wote. Unaposema kwa muda wote tafsiri yake inatakiwa iwe miwa kweli kweli20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam
19: FA - Bado Nipo Nipo
18: Fid Q - Propaganda
17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio
16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee
15: AY - Raha Tu
14: Professor J - Hapo Sawa
13: Balozi -Kwenye Chati
12: Sugu - Wananiita Sugu
11: Professor J - Nikusaidiaje
10: Ngwair - Mitungi/Mikasi
9: Inspector Haroun - Mtoto wa geti kali
8: Jay Mo - Maisha Ya Boarding
7: X plastaz - Ushanta
6: Afande Sele -Darubini Kali
5: Sugu - Moto Chini
4: Kwanza Unit - Msafiri
3: Sugu - Mikononi mwa Polisi
2: Afande Sele - Mtazamo
1: Professor J -Zali la Mentali
Hata Kama aiseekwa upande wangu yes
Kila list najionea maajabu, ni kweli ni list yako lakini wimbo kama Hawatuwezi unaweza vipi kukosekana?1. Muziki -Darassa
2. Starehe - Ferouz
3. DSM stand up - Chid Benz
4. Ingekua vp - FA ft Jay Moe
5. Kamanda - Daz nundaz
6. Hakuna kulala - Juma Nature
7. Bongo DSM - Prof Jay
8. Zali la mentali - Prof Jay
9. Mi mmasai - Mr Ebo
10. Mtazamo - Afande Sele
11. Wauguzi - wagosi wa Kaya
12. Tunasonga - Hashim dogo na Kalapina
13. Tanga - Wagosi wa Kaya
14. Inaniuma Sana - Juma Nature
15. Kiburi - Sugu
16. Habari ndo hiyo - FA/AY
17. Mwanza Mwanza - Fid Q
18. Kibanda Cha simu - Soggy Doggy
19. Nikusaidiaje - Prof Jay
20. Mathematics - Roma
Hizo ngoma ni classic ziwekwe kwenye jumba la makumbusho.