Nafikiri hizi nyimbo 20 za rap ya Bongo ndizo bora kwa muda wote

Namiss maisha ya zamani (ujana/utoto nk)
Siku hizi najihisi am not complete-i miss damn old days na watu niliokuwa nao zamani.
 
mmmh kwamba bongo dar es Salaam haipo kivip?
 
Acha utoto wewe.
1. Weka nyimbo zote za album ya Sugu inaitwa "Ndani ya Bongo"

2. Nyimbo zote za album ya HBC inaitwa "Funga kazi"
 
Unaweka favorites zako badala ya kuweka nyimbo kali.

Nimeshangaa hata "Naja" ya Squizer haipo.

Admin futa huu uzi tuanze upya.
 
Kama hamna "kibanda cha simu" ya Soggy, basi orodha yako ni batili.
 
Yaani Sugu awe na nyimbo tatu kwenye top 20!😁.

Haya sasa ni mahaba!

Bila sanaa/Mitaa ya kati???
 
Mkimaliza mjadala nitafutieni sehemu ya kuweka MTULIZE - Mabaga Fresh
 
Hapo bila father Nelly kuwepo hii chati ni yakiduanzi.

Kipi haramu kipi halali?
Father Nelly
 
Nimeona kwenye orodha wengi wameiweka Zali la mentali ya Prof J

Ila kwa Prof J nafikiri mgeweka Ndiyo mzee inastahili zaidi
 
GWM majitu mwitu msitu, tunakamua kichizi. Bila hili chupa hii orodha ni batili.
 
Bila kuonaa ngoma alizo produce Mika Mwamba labda hii orodha ni ya watu wa early 2000s.

Bongo fleva inabebwa na nyimbo za zamani kuliko za sasa mfano nyimbo kama:-

  • Kamanda _ Daz Nundaz
  • Barua _ Daz Nundaz
  • Tamala _ Hard Mad
  • Mpenzi _ Dudu Baya (sina hakika na jina)
  • Kama vip _ Mez B
  • Salome _ Dully Sykes

Alafu ndio zije hizo za hiphop/rap sasa
 
Kama hakuna nataka kukutooooooooooooooo......................mbaki na threadi yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…