Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
akiba haioziWakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo
Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika
Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa
Kwa Sasa sababu ya Ayatollah kupigwa imepatikana Ila zamu nayo ndo haijafika atulie tu
Angeweza kutuliza mihemko yake ingekuwa faida kwake Ila ndo kashaharibu Sasa
Ina maana kulipa Kisasi kisa Viongozi wa magaidi ameonyesha wazi kwamba yeye ndo baba wa magaidi wa Hamasi na hizbola
Binafsi Nilichojufunza usitolewe kwenye lengo malizana na moja ndo uende lingine
Ngoja tuone ila lolote linaweza kutokea, maana tuliona Israel akipiga Yemen wakati huo huo anapiga Lebanon na GazaWakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo
Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika
Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa
Kwa Sasa sababu ya Ayatollah kupigwa imepatikana Ila zamu nayo ndo haijafika atulie tu
Angeweza kutuliza mihemko yake ingekuwa faida kwake Ila ndo kashaharibu Sasa
Ina maana kulipa Kisasi kisa Viongozi wa magaidi ameonyesha wazi kwamba yeye ndo baba wa magaidi wa Hamasi na hizbola
Binafsi Nilichojufunza usitolewe kwenye lengo malizana na moja ndo uende lingine
hata hezbollah walipoona hamas wanapigwa, wakarusha roketi, ili israel ipotee maboya kwa kupigana na hezbollah wakati hamas wanapumua, alichofanya israel, aliendelea na hamas hadi akamalizana nao ndio akahamia hezbollah, jana iran ilipoona israel imeanza askari wa miguu (ground invasion) lebanon wamerusha ili kumpotezea ramani, israel ameendelea kupiga southern Lebanon kama kawaida, akimalizana nao atakuja kwa wahuth na atamaliza na iran. wanataka israel ipigane vita vingi kwa pamoja ili waishambulie kwa pamoja, na israel anaujua huo mtego.Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo
Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika
Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa
Kwa Sasa sababu ya Ayatollah kupigwa imepatikana Ila zamu nayo ndo haijafika atulie tu
Angeweza kutuliza mihemko yake ingekuwa faida kwake Ila ndo kashaharibu Sasa
Ina maana kulipa Kisasi kisa Viongozi wa magaidi ameonyesha wazi kwamba yeye ndo baba wa magaidi wa Hamasi na hizbola
Binafsi Nilichojufunza usitolewe kwenye lengo malizana na moja ndo uende lingine
Mswahili katika ubora wake na ndio yaleyale ya akina Mohammed Al Sahaf.. subirini kipigo na Netanyahu amesema Iran imefanya kosa kubwa sana.Wacheni story nyingi Israel hawezi hata siku moja kugusa Iran kwa sababu silaha alizo tumia Iran jana sio katika silaha zake 5 kali.
Jifurahisheni tu huko Hezbullah pia hamuwezi, kuhusu ground force wanabeba vilema na maiti. Hezbullah sa hivi kiongozi wao mpya hana huruma kama Nasurlah ataichafua Tela Aviv.
Yemen pia hamuwachi mpaa Israel atainua mikono kakubali masharti ya Hamas
Iran ni kulipua tu visima vya mafuta na gesi halafu na viwanda vya kutengeneza makombora na drones na basi kazi itakuwa imeisha.akigusa tu Iran, missiles zote 4000 zinatua Tel Aviv
Amka mkuu kumekucha utajinyea bure😀Iran ni kulipua tu visima vya mafuta na gesi halafu na viwanda vya kutengeneza makombora na drones na basi kazi itakuwa imeisha.
Iran inarudi kwenye zama za mawe na nchi haitakalika, mapinduzi lazima yafanyike ya kuwaondoa hao matapeli wanaojifanya eti wana serikali ya kidini kumbe ni maigizo matupu.
Tatizo mnajikuta mna nguvu na mpo sahihi kuliko wengine, ndio maana hoja zenu ni kuwa hakuna mshindwachoWakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo
Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika
Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa
Kwa Sasa sababu ya Ayatollah kupigwa imepatikana Ila zamu nayo ndo haijafika atulie tu
Angeweza kutuliza mihemko yake ingekuwa faida kwake Ila ndo kashaharibu Sasa
Ina maana kulipa Kisasi kisa Viongozi wa magaidi ameonyesha wazi kwamba yeye ndo baba wa magaidi wa Hamasi na hizbola
Binafsi Nilichojufunza usitolewe kwenye lengo malizana na moja ndo uende lingine
Kwa sababu Israel yeye hana missiles si ndiyo?akigusa tu Iran, missiles zote 4000 zinatua Tel Aviv
nao wanazoKwa sababu Israel yeye hana missiles si ndiyo?
We ndio wale wanao msubiri Yesu eti atarudi 😄 ndio hio nyimbo yake imefanana na Nyau.Mswahili katika ubora wake na ndio yaleyale ya akina Mohammed Al Sahaf.. subirini kipigo na Netanyahu amesema Iran imefanya kosa kubwa sana.
Let us wait and see.
Haha,Angekimbilia hata Iran baada kuona wasaidizi wake wote wameisha