Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo
Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika
Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa
Kwa Sasa sababu ya Ayatollah kupigwa imepatikana Ila zamu nayo ndo haijafika atulie tu
Angeweza kutuliza mihemko yake ingekuwa faida kwake Ila ndo kashaharibu Sasa
Ina maana kulipa Kisasi kisa Viongozi wa magaidi ameonyesha wazi kwamba yeye ndo baba wa magaidi wa Hamasi na hizbola
Binafsi Nilichojufunza usitolewe kwenye lengo malizana na moja ndo uende lingine