The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 852
- 1,978
Nyumba ya mwijaku ni bil 1.3, unashangaa self kuwa mil70?Kuna mada za mizaha, mada kama hizi hazitaki mizaha. Kuna waty wakipita humu wanabeba na kujifunza vitu tofauti. Chumba self kwa 70m?
Msingi tu hapa na unaweza usipandishe inategemea na ramani yakoKweli mkuu, ila kujenga nyumba ya M5 haiwezekani?
Jf wote madon ooh!! 🤣🤣Kama kawa ma-don wa jf mnajadiliana kujenga nyumba za $25000+🤣acheni kutishia vijana wanaotaka kuanza maisha
Simple tu ingia kigamboni kuanzia mji mwema kwenda mbele au upande wa mbezi anzia mpiji magohe huko lipia kiwanja tafuta duka la hardware la karibu lipia vitu taratibu ukianza na 15M+ unatembea mwendo wa slow but sure
wacha upumbavu mimi najenga Chumba kimoja na choo nije unfanyie consultant ofisini ya nini?We unazan consultancy tunatoa Bure?
Njoo Pm au ofisini utapewa mchanganuo na bei na Kila kitu.
Watu wanakatisha tamaa kwa mizaha, mambo kwa ground ni tofautiKuna mada za mizaha, mada kama hizi hazitaki mizaha. Kuna waty wakipita humu wanabeba na kujifunza vitu tofauti. Chumba self kwa 70m?
Asante studio, viwanja vipo mpaka milioni tatu unapata inategemea ni wapi na ujenzi 30M unaweza kukamilisha nyumba kabisaKama kawa ma-don wa jf mnajadiliana kujenga nyumba za $25000+[emoji1787]acheni kutishia vijana wanaotaka kuanza maisha
Simple tu ingia kigamboni kuanzia mji mwema kwenda mbele au upande wa mbezi anzia mpiji magohe huko lipia kiwanja tafuta duka la hardware la karibu lipia vitu taratibu ukianza na 15M+ unatembea mwendo wa slow but sure
Sipendagi Kitu Cha kawaida kinajadiliwa ktk namna ya kutisha unaweza Kuta wavu tu wa kawaida ukitajwa kwa kingereza unaweza hisi hii Kitu inauza 4million kumbe ni 35000Asante studio, viwanja vipo mpaka milioni tatu unapata inategemea ni wapi na ujenzi 30M unaweza kukamilisha nyumba kabisa
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣 Nlimaanisha mwalimu wa watotoTatizo mi sio mwalimu 🤣🤣🤣
Million 8 unapata sehemu nzuri sanaJf wote madon ooh!! 🤣🤣
Ila wazingatie spaaaaaace
Mpiji zamani yalikuwa mashamba, ss hivi watu wanajenga..!! Ardhi ni asset nzuri sana.
Mfyuuu 😂😂😂🤣🤣🤣🤣 Nlimaanisha mwalimu wa watoto
Yaani wewe kuwa na nyumba ndio unaona umemaliza? JitafakariAhsante, kujenga habari nyingine..!!
Nikiangalia nyumba yangu, nashindwa kufanya maamuzi ya kuolewa. Najua mjuba akinizingua jioni akirudi hanikuti, ntakuwa nisharudi home sweet home 🤣🤣
Madam lamomyMfyuuu 😂😂😂
Zamani ilikuwa laki 4 kipindi mzee ananunua mashamba uko, tulikuwa tunalima mahindi ujue..!!Million 8 unapata sehemu nzuri sana
Siku ya msiba watafunga turubai kwenye apartment au sio?ni bola ninunue gari nipange apartment kwisha
Bado nini niongeze.?? 😂😂Yaani wewe kuwa na nyumba ndio unaona umemaliza? Jitafakari
huyo jamaa nafikiri nati imekatika yeye kila siku anakuja na jambo jipyahuu ni uwongo, tafuta 50M halafu waone wataalam wakuoneshe aina ya nyumba unayoweza jenga, sio unakuja kuropoka tu