Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Hayo ni mawazo yako tu,yaani ni tabia ya mtu

Si umeona kama kaka mtoa mada,kasema hajawahi mcheat mkewe,,,,na kwasisi wanawake tunakauli yetu pia kuwa hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja.
Wewe unataka kuniambia nikikamata simu yako mtu unaechati nae ni bahasha wako tu😅 kwamba hamna wale ma cousin ambao mnakulana kimya kimya?
 
Huh!! Kwahiyo walikuvuruga ukavurugika mazima!! Hebu tulia upendwe kenge wewe sio unajifanya bandidu[emoji1787][emoji1787]
 
Tuliza wenge wewe, sisi ndio mliumbiwa. Usipotukea unataka nani sasa afanye hivyo? Ila usisahau kutafuta sana pesa maana tunazihitaji.
 
Ndio kukosa akili huko sasa, ushindwe kummudu mmoja uweze wawili? Wewe uliona wapi?
Hahahahah unajua madhara ya kuwa na mmoja wewe? Hata gari ina mguu wa jini kwenye buti! Unafikiri mzungu fala kuweka kile ki piriton kwenye buti 😂😂😂
 
Kabla hajajitundika ahakikishe anao urithi wa kutosha wa kuacha sio anatuachia vilio visivyo na faida.
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna Mzee 1 anajisifia kuoa halafu hana hata nyumba anaishi kwa mwanamke halafu anajiita kichwa cha familia, hivi huyu atalalamika mke hampi heshima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…