Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Hayo ni mawazo yako tu,yaani ni tabia ya mtu

Si umeona kama kaka mtoa mada,kasema hajawahi mcheat mkewe,,,,na kwasisi wanawake tunakauli yetu pia kuwa hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja.
Wewe unataka kuniambia nikikamata simu yako mtu unaechati nae ni bahasha wako tu😅 kwamba hamna wale ma cousin ambao mnakulana kimya kimya?
 
Hahahahah when i was on my early 20”s i used to love for real mpaka hapo mids nikawa nimejifunza how to be a man to African ladies[emoji28]!
Sahii mie ni mkufunzi!

Mwanamke wa kibongo ambaye hana njaa ya pesa naweza walau nikam trust ila sio Goldiggers ambao wana make 98% ya wanawake wa mjini hapa!
Huh!! Kwahiyo walikuvuruga ukavurugika mazima!! Hebu tulia upendwe kenge wewe sio unajifanya bandidu[emoji1787][emoji1787]
 
Muendelee kutuvumilia tu maana haina jinsi! Mtanisamehe ila uaminifu kwa wanawake wa kibongo ni 2%

Hivi mie nikae kabisa na demu wa kibongo eti nakazana kumkea sijui napoteza pesa we kuonesha kumjali. Mwanamke ambaye nikipangwa kikazi mkoa tofauti ndani ya mwezi mmoja tu lazima awe kashagongwa na wahuni!
Tuliza wenge wewe, sisi ndio mliumbiwa. Usipotukea unataka nani sasa afanye hivyo? Ila usisahau kutafuta sana pesa maana tunazihitaji.
 
Ndio kukosa akili huko sasa, ushindwe kummudu mmoja uweze wawili? Wewe uliona wapi?
Hahahahah unajua madhara ya kuwa na mmoja wewe? Hata gari ina mguu wa jini kwenye buti! Unafikiri mzungu fala kuweka kile ki piriton kwenye buti 😂😂😂
 
Kabla hajajitundika ahakikishe anao urithi wa kutosha wa kuacha sio anatuachia vilio visivyo na faida.
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna Mzee 1 anajisifia kuoa halafu hana hata nyumba anaishi kwa mwanamke halafu anajiita kichwa cha familia, hivi huyu atalalamika mke hampi heshima?
 
Back
Top Bottom