Yani nikishaona mwanamke anasext na mtu mwengine tayari disqualified! Kwa style hio tutaendelea kuwapanga tu mpaka Yesu ataporudi! We unataka mwanaume awe wako pekeyako ila wewe umewaweka pending watu wako siku ukikorofishana na mwenzio ndio siku ambayo unapeleka mbunye ikapigwe bila huruma.[emoji23][emoji23][emoji23] live na sms ipi tata??
Sasa mbona sisi unatulaumu kwa kuwa na mmoja!! Hivi unajua mlivyo na stress nyie viumbe!!Hahahahah unajua madhara ya kuwa na mmoja wewe? Hata gari ina mguu wa jini kwenye buti! Unafikiri mzungu fala kuweka kile ki piriton kwenye buti [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba ilitakiwa tukabane ili unyumba utolewe😅 au tupige roba za mbao?La mume!! Mkeo anakunyimaje unyumba yaani!! Ndio kukoswa akili huko[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] kuna Mzee 1 anajisifia kuoa halafu hana hata nyumba anaishi kwa mwanamke halafu anajiita kichwa cha familia, hivi huyu atalalamika mke hampi heshima?
Wanawake na wanaume ni wepi waongoza kwa kucheat???Yani nikishaona mwanamke anasext na mtu mwengine tayari disqualified! Kwa style hio tutaendelea kuwapanga tu mpaka Yesu ataporudi! We unataka mwanaume awe wako pekeyako ila wewe umewaweka pending watu wako siku ukikorofishana na mwenzio ndio siku ambayo unapeleka mbunye ikapigwe bila huruma.
Saikolojia yenu iko plain sana yani raha sana ukijua M.O ya kichwa cha demu wa kibongo.
Si tunafanana na wanaume wa kibongo jamani! Au umesahau mnapewa wa kufanana nanyi[emoji2369][emoji2369][emoji2369]Yani nikishaona mwanamke anasext na mtu mwengine tayari disqualified! Kwa style hio tutaendelea kuwapanga tu mpaka Yesu ataporudi! We unataka mwanaume awe wako pekeyako ila wewe umewaweka pending watu wako siku ukikorofishana na mwenzio ndio siku ambayo unapeleka mbunye ikapigwe bila huruma.
Saikolojia yenu iko plain sana yani raha sana ukijua M.O ya kichwa cha demu wa kibongo.
Mwanamke anatakiwa awe na one partner yani one-to-one function! Ndivyo ambavyo ameumbiwa.Sasa mbona sisi unatulaumu kwa kuwa na mmoja!! Hivi unajua mlivyo na stress nyie viumbe!!
Kwahiyo unatushauri tuwe na wangapi?
Ukiwa na akili unajua cha kufanya na inaandaliwa hata kabla hujafika nyumbani, yaani ukifika unaikuta iko tayari inakusubiri ujisevie tani yako[emoji1787][emoji1787]Kwamba ilitakiwa tukabane ili unyumba utolewe[emoji28] au tupige roba za mbao?
Wanawake sikuhizi mnaongoza kwa kuchiti, yani phonebook ina namba za wanaume kuliko wanawake na wote unawaomba hela😅!!!Wanawake na wanaume ni wepi waongoza kwa kucheat???
Washasahau yaani wanaume wa kibongo ni pasua kichwa[emoji23]Si tunafanana na wanaume wa kibongo jamani! Au umesahau mnapewa wa kufanana nanyi[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] halafu anawacheka wenzie mie mwanamke hanisumbui kuogopa tu umri wake ningemwambia nyamaza marioo mkubwa weee [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo inabidi tumpelekee Extrovert amfunde.
Ndivyo tumeumbiwa na nani? Pale Eden si waliumbwa wawili wawili au version yako inasema tofauti? Sasa kama tunaamua kubadilisha mwenendo basi msione taabu nasi kuwa nao wengi. Ukinivuruga anakuwepo wa kunifariji, namna hiyo mambo yakakuwa bien kabisa.Mwanamke anatakiwa awe na one partner yani one-to-one function! Ndivyo ambavyo ameumbiwa.
Mwanaume ni one-to-many function ila kwa sasa mnataka mwanaume awe na wewe ila wewe uwe na vidumu! Mwanaume kumhudumia uanze usumbufu ila ateseke sababu yako ila mbunye unampa hawara wako ajibwedee atakavyo. Hii ndio akili yenu mume akilialia umuone fara hana akili.
Hebu ona aibu hata kidogo kwa kutusingizia mambo mazito hivi!! Yaani tunavyoongoza kwa uaminifu haitoshi umeamua utuchafue[emoji2297][emoji2297][emoji2297] ni huzuni kwakweli.Wanawake sikuhizi mnaongoza kwa kuchiti, yani phonebook ina namba za wanaume kuliko wanawake na wote unawaomba hela[emoji28]!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]wanakuwa ma ankali zetu[emoji23]Wanawake sikuhizi mnaongoza kwa kuchiti, yani phonebook ina namba za wanaume kuliko wanawake na wote unawaomba hela[emoji28]!!!
Wengi hawajui ndiyo maana vibabu vinamiliki wadada waremboUkiwa na akili unajua cha kufanya na inaandaliwa hata kabla hujafika nyumbani, yaani ukifika unaikuta iko tayari inakusubiri ujisevie tani yako[emoji1787][emoji1787]
Sio kwa mwanamke kama wa mtoa mada halafu ukishaelewa kuwa mapenzi hayahusiani na hizo akili kabisa ndio utashangaa!Ukiwa na akili unajua cha kufanya na inaandaliwa hata kabla hujafika nyumbani, yaani ukifika unaikuta iko tayari inakusubiri ujisevie tani yako[emoji1787][emoji1787]
Aaah wanajikutaga malaika yaani, sie tunacheza muziki wanaopiga.Washasahau yaani wanaume wa kibongo ni pasua kichwa[emoji23]
Wanajiona watakatifu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa asipojitutumua mtajuaje nae ni mwanaume!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] halafu anawacheka wenzie mie mwanamke hanisumbui kuogopa tu umri wake ningemwambia nyamaza marioo mkubwa weee [emoji23]
Heshima kwa vibabu kwakweli[emoji1787]Wengi hawajui ndiyo maana vibabu vinamiliki wadada warembo