Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Yani nikishaona mwanamke anasext na mtu mwengine tayari disqualified! Kwa style hio tutaendelea kuwapanga tu mpaka Yesu ataporudi! We unataka mwanaume awe wako pekeyako ila wewe umewaweka pending watu wako siku ukikorofishana na mwenzio ndio siku ambayo unapeleka mbunye ikapigwe bila huruma.[emoji23][emoji23][emoji23] live na sms ipi tata??
Saikolojia yenu iko plain sana yani raha sana ukijua M.O ya kichwa cha demu wa kibongo.