Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

[emoji23][emoji23][emoji23] live na sms ipi tata??
Yani nikishaona mwanamke anasext na mtu mwengine tayari disqualified! Kwa style hio tutaendelea kuwapanga tu mpaka Yesu ataporudi! We unataka mwanaume awe wako pekeyako ila wewe umewaweka pending watu wako siku ukikorofishana na mwenzio ndio siku ambayo unapeleka mbunye ikapigwe bila huruma.

Saikolojia yenu iko plain sana yani raha sana ukijua M.O ya kichwa cha demu wa kibongo.
 
Hahahahah unajua madhara ya kuwa na mmoja wewe? Hata gari ina mguu wa jini kwenye buti! Unafikiri mzungu fala kuweka kile ki piriton kwenye buti [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mbona sisi unatulaumu kwa kuwa na mmoja!! Hivi unajua mlivyo na stress nyie viumbe!!
Kwahiyo unatushauri tuwe na wangapi?
 
Yani nikishaona mwanamke anasext na mtu mwengine tayari disqualified! Kwa style hio tutaendelea kuwapanga tu mpaka Yesu ataporudi! We unataka mwanaume awe wako pekeyako ila wewe umewaweka pending watu wako siku ukikorofishana na mwenzio ndio siku ambayo unapeleka mbunye ikapigwe bila huruma.

Saikolojia yenu iko plain sana yani raha sana ukijua M.O ya kichwa cha demu wa kibongo.
Wanawake na wanaume ni wepi waongoza kwa kucheat???
 
Yani nikishaona mwanamke anasext na mtu mwengine tayari disqualified! Kwa style hio tutaendelea kuwapanga tu mpaka Yesu ataporudi! We unataka mwanaume awe wako pekeyako ila wewe umewaweka pending watu wako siku ukikorofishana na mwenzio ndio siku ambayo unapeleka mbunye ikapigwe bila huruma.

Saikolojia yenu iko plain sana yani raha sana ukijua M.O ya kichwa cha demu wa kibongo.
Si tunafanana na wanaume wa kibongo jamani! Au umesahau mnapewa wa kufanana nanyi[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
 
Sasa mbona sisi unatulaumu kwa kuwa na mmoja!! Hivi unajua mlivyo na stress nyie viumbe!!
Kwahiyo unatushauri tuwe na wangapi?
Mwanamke anatakiwa awe na one partner yani one-to-one function! Ndivyo ambavyo ameumbiwa.

Mwanaume ni one-to-many function ila kwa sasa mnataka mwanaume awe na wewe ila wewe uwe na vidumu! Mwanaume kumhudumia uanze usumbufu ila ateseke sababu yako ila mbunye unampa hawara wako ajibwedee atakavyo. Hii ndio akili yenu mume akilialia umuone fara hana akili.
 
Si tunafanana na wanaume wa kibongo jamani! Au umesahau mnapewa wa kufanana nanyi[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Washasahau yaani wanaume wa kibongo ni pasua kichwa[emoji23]

Wanajiona watakatifu
 
Mwanamke anatakiwa awe na one partner yani one-to-one function! Ndivyo ambavyo ameumbiwa.

Mwanaume ni one-to-many function ila kwa sasa mnataka mwanaume awe na wewe ila wewe uwe na vidumu! Mwanaume kumhudumia uanze usumbufu ila ateseke sababu yako ila mbunye unampa hawara wako ajibwedee atakavyo. Hii ndio akili yenu mume akilialia umuone fara hana akili.
Ndivyo tumeumbiwa na nani? Pale Eden si waliumbwa wawili wawili au version yako inasema tofauti? Sasa kama tunaamua kubadilisha mwenendo basi msione taabu nasi kuwa nao wengi. Ukinivuruga anakuwepo wa kunifariji, namna hiyo mambo yakakuwa bien kabisa.
 
Wanawake sikuhizi mnaongoza kwa kuchiti, yani phonebook ina namba za wanaume kuliko wanawake na wote unawaomba hela[emoji28]!!!
Hebu ona aibu hata kidogo kwa kutusingizia mambo mazito hivi!! Yaani tunavyoongoza kwa uaminifu haitoshi umeamua utuchafue[emoji2297][emoji2297][emoji2297] ni huzuni kwakweli.
 
Ukiwa na akili unajua cha kufanya na inaandaliwa hata kabla hujafika nyumbani, yaani ukifika unaikuta iko tayari inakusubiri ujisevie tani yako[emoji1787][emoji1787]
Sio kwa mwanamke kama wa mtoa mada halafu ukishaelewa kuwa mapenzi hayahusiani na hizo akili kabisa ndio utashangaa!

Stimulus za mapenzi ni vitu vingi, wewe unaependa hela ukiingiliwa kwa gia ya pesa ndio utaona fahari ya mapenzi.

Mwengine anapenda mvuto wa kijana akifatwa na kijana barobaro smart anaweza kuinjoy mno na kutamani kila muda awe na mahabuba wake.

Mwengine anapenda status ya mtu na vyote ambavyo viko associated na hilo. Akitokewa na star anapgawa na mda wote anafurahia kupelekewa moto.

This is how sex & love works...hamna mambo ya akili wala blah blah!
 
Duuh pole sana mkuu! Usipokuwa makini huyo mwanamke ataleta hadi wanaume wengine humo ndani mbele yako na huku wewe haujawahi kumcheat na hakuna kitu utamfanya!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] halafu anawacheka wenzie mie mwanamke hanisumbui kuogopa tu umri wake ningemwambia nyamaza marioo mkubwa weee [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa asipojitutumua mtajuaje nae ni mwanaume!!
 
Back
Top Bottom