Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Muache kupenda hela dada zangu! Pendeni watu kama walivyo ili hata wakifulia iwe rahisi kuvumiliana. Mie naogopa sana wanawake wenye njaanjaa maana maisha hayatabiriki.
Issue sio kupenda swala Ni je unaempenda Yuko tayari kwenda na wewe kwenye hiyo safari?. Mi naona Cha msingi Ni kutumia akili kufanya maamuzi tusikubali kugalagazwa na moyo mpofu.

Ukiitumia akili kila kitu lazma utafanya kwa uangalifu, maana nyie nao mnapendwa mkiwa hamna pesa halafu mkizipata mnatu dump, Sasa hapa kila mtu apende maisha yake Ila tu tuwe na mahusiano yenye heshima, adabu, amani na utii hapo tutafika mbali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa unataka achat na akina nani?
Achat na Faridi tu bahasha wake anayempenda kwa dhati! Sasa hapo kademu unakuta kana list, Feysal anaomba game dem kashalegeza...,Arshad nae anagongea mtoko weekend..,Samir nae hayuko mbali kaelewa mzigo anachezea kizinga cha 30K.., hapo list inaendelea af unategemea Farid awe ametulia tu anamskilizia mawardat eti ndio mpenzi wake wa maisha!
 
Sijui wanaume wa hivi wanakuwa ga was3nge? Sorry nimetukana japo ni wanaume wenzetu ila wanatudhalilisha sana. Mtu analipwa 400K kwa mwezi halafu utasikia anasema; tafuta hela upendwe, kila thread utasikia tafuta hela, yanaboa mno haya mas33nge. Ona mpaka nimetukana sasa.!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Haa haaa haa utaacha watu washindwe kulala pressure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikucheza taratiiiibu, eti jamani wasiolewa wakeshe kwa mwamposa na walio olewa nao tukeshe eti waume watulie hiyo haiwezekani kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] haki nmecheka wee kwahyo tukiolewa tukeshe wapi sasa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa huna hela unatoaje order jamani? Huo ni ukorofiiiii. Umeamua kulelewa basi tulia ulelewe usitake kuuliza maswali mengi. Heshima comes with power na pesa ni mojawapo.

Tena ukute wakati ukiwa na pesa ndio ulikuwaga na mambo meusi basi hamna rangi utaacha kuona. Maana mkiwaga na pesa mna viburiiiiii, sasa ukijujua una kiburi jitahidi zisikate.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]usiniambie!!
 
Mtu anakaza eti anataka kumfuga slay kwini😅 anakopa anamnunulia iphone 12 pro max ili aendane na wakati! Demu anamuona kolo tu mwisho anaanza kupigwa na wahuni ambao hawatoi hata ya pedi
 
Yani inauma sana iphone 12 pro max ulionunua wewe ukiomba demu akutumie picha zake hakutumii ila kuna ndezi ambaye hajui hata bei ya vocha anatumiwa nudes[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asee
 
Haa haaa haa utaacha watu washindwe kulala pressure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikucheza taratiiiibu, eti jamani wasiolewa wakeshe kwa mwamposa na walio olewa nao tukeshe eti waume watulie hiyo haiwezekani kabisa.
Atulie where, which, how[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Wewe kula raha zako taratiiiibu, ukirudi nyumbani unajiimbia tu gospel na kusaidia watoto home work. Wana kamsemo kao kuwa wanatulia wakizeeka, hivyo usijihangaishe hataaa.
 
Hata mie nashangaa inakuwaje mume ukamshindwa mkeo???

Yaani mkeo anakushinda???

Nini maana ya kuwa mwanaume/baba wa family??

Baba si ni nguzo/kichwa cha family inakuwaje uikimbie nyumba yako kisa mke???
Si ndio hapo yaani!! Mambo ya ajabu kabisa haya.
 
Hapo lazima Faridi atakuwa anapwaya kwenye nafasi yake ndio maana. Wa kulaumiwa ni Faridi, mbona sisi tunatulizana sana[emoji2369]
 
Hata mie nashangaa inakuwaje mume ukamshindwa mkeo???

Yaani mkeo anakushinda???

Nini maana ya kuwa mwanaume/baba wa family??

Baba si ni nguzo/kichwa cha family inakuwaje uikimbie nyumba yako kisa mke???
Hahahahahahha kwa muhuni kama mie mke kujaribu huo upuuzi hawezi kamwe sababu anaujua mziki wa Sony Xplod single channel!
 
You are the man'n', respect!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…