maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,137
- 3,874
Issue sio kupenda swala Ni je unaempenda Yuko tayari kwenda na wewe kwenye hiyo safari?. Mi naona Cha msingi Ni kutumia akili kufanya maamuzi tusikubali kugalagazwa na moyo mpofu.Muache kupenda hela dada zangu! Pendeni watu kama walivyo ili hata wakifulia iwe rahisi kuvumiliana. Mie naogopa sana wanawake wenye njaanjaa maana maisha hayatabiriki.
Ukiitumia akili kila kitu lazma utafanya kwa uangalifu, maana nyie nao mnapendwa mkiwa hamna pesa halafu mkizipata mnatu dump, Sasa hapa kila mtu apende maisha yake Ila tu tuwe na mahusiano yenye heshima, adabu, amani na utii hapo tutafika mbali.