Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Wanawake wanashindwa kutuelewa sisi Wanaume...

WANAUME hatuihitaji mapenzi kwao ,bali tunahitaji HESHIMA na UTII. Watuheshimu na tukiwaambia watusikilize na kututii.

Mwanamke akishindwa kukuheshimisha basi jua kuwa SIO mwanamke anaekufaa
Kweli kabisa
 
Huu ni ushauri wa kipekee.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu7uuuuuu7uuuuuuuuuuuuuuuuu7uuuuuuuuu7u7uuuuuuuu Kabila gani?
Ulimtoa wapi?
Mnaishi mtaa gani?
Rafiki yake mkubwa ndiye aliyeharibu ndoa yenu.
Trust me
 
Pole mkuu...japo nauona utoto kwako...unajiita handsome..hata kama.

Ushauri wangu ni mdogo tu.
1. Lipa kodi ndipo uondoke, ukiwatoroka hutofanikiwa kamwe uendapo.
2. Usiondoke kwa kashfa na kejeli.
Mwite mkeo na mwanao na uwaambie;
-mke wangu ninakupenda sana sana japo
ninasikitika kuwa hali yangu ngumu imeondoa furaha yetu.
-kwa hali hii inanibidi nikajaribu maisha kwingine, naomba umlee mtoto kwa upendo wote, nikifanikiwa huko nitawakumbuka mke wangu.

Mkuu hata kama umekusudia kumwacha kwa siri lakini kwa maneno haya atakuwa anakutakia heri na ufanikiwe skijua ukifanikiwa amefanikiwa...usiondoke mke akilia hutofanikiwa uendako.
Usitumie maneno makali kwa mwanamke...bora unyamaze.
Hawa viumbe wakilia wananyonya baraka zetu
 
Story ya upande mmoja, ukute wewe ndio jipu sasa unatafuta justification ya kukimbia majukumu yako. Ndio zenu, halafu baadae mtasema watoto wamelishwa sumu na mama zao.
 
Poa mkuu
 

Una bahati una mtoto mmoja, we nenda tu
 
Pole mkuu. Naamini mwanamke anayekupenda kwa dhati hawezi kukufanyia vitimbi. Mungu ametupa akili za kung'amua mambo. Hana mapenzi ya dhati na wewe huyo. Wakati wa uchumba nadhani ukuweza kumjua rangi yake halisi.
 
Hendisamu hivi ni mimi sielewi ama "nikiachana nae huyu siowi tena"
kwani ulimuoa huyo mbona umesema ni wachumba tu mnaejulikana pande zote [emoji849][emoji849]
Ndiyo tunajulikana mkuu nimeandika kwenye uzi na kisheria serikalini tayari ni mke sema ndo hivo.
 
Pombe ulisha acha? Ukute mwenzio anajumlisha hasira za wewe kunywa pombe +kukosa kazi, au unachopata saivi kinaishia kwenye pombe.
Siogopi kuandika ukweli mkuu so jilicho andika ndo kipo kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…