Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Ni mapenzi sio hela, mbona tunao wana maisha yakawaida tu mke katulia kabisa lakini vijana wanashangaa shangaa tu daa mzee anachuma haswaa, unauliza mlikuwa wapi wanalamba midomo tu!Akili yenu si kuhongwa pesa[emoji23] sasa hayo mapenzi au biashara! Hao mababu wanahonga vilaki laki ndio wanawake tulio nao sikuhizi. Completely useless!!!
Sasa unategemeaje uaminifu kwa mtu mwenye njaa njaa? Kuna sababu ya kustay faithful hapo?