Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Akili yenu si kuhongwa pesa[emoji23] sasa hayo mapenzi au biashara! Hao mababu wanahonga vilaki laki ndio wanawake tulio nao sikuhizi. Completely useless!!!

Sasa unategemeaje uaminifu kwa mtu mwenye njaa njaa? Kuna sababu ya kustay faithful hapo?
Ni mapenzi sio hela, mbona tunao wana maisha yakawaida tu mke katulia kabisa lakini vijana wanashangaa shangaa tu daa mzee anachuma haswaa, unauliza mlikuwa wapi wanalamba midomo tu!
 
Mapenzi ya dhati tunayo teleeee, ni vile tu nyie hamjiamini na mshajikatia tamaa jumlisha kukosa akili mnahisi ni pesa zenu tunapenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kukosa akili ni subjective, huwezi date na kichaa hilo naamini! Kama njaa ndio zinakuongoza huwezi kaa ukafurahia mapenzi hata siku moja na ni ngumu kuwa na bahasha mmoja.
 
Ahhh hicho kichwa che mkewe kimejaa ugoro kabisaa, Yani wanawake sijui huwa tukoje ahhh. Hivi mtu anatoa wapi ujasiri wa kumlaza rumande baba watoto. Hivi hapo hata mzagamuano anampa kweli??
Ameshakiri kuwa mbunye hajapewa yapata mwezi wa 2 sasa anakula vikumbo tu😅 na amelazwa rumande bila sababu za kueleweka
 
Nimekuelezea uhalisia, hizo akili unazoesemea wewe kuwa mtoa mada hana Inashangaza!

Mwanamke kiburi sasa unamfanyaje mwanamke kiburi ambaye kutoa unyumba hataki na unamlisha na kumvesha!?
Hiyo hali halisi ndio akili yenyewe, akumbuke alipokosea arekebishe.
Hivi unajua ilivyo kazi na stress kuishi na a broke guy!! Kiiila unachofanya anakihesabu, hata makosa ya kawaida ya kibinadamu anayajudge mwisho wa siku anakuwa a turn off hata genye nae huna. Na ni visiraniii hatari, wana kazi ya kuhesabu tu mabaya.
 
Hiyo hali halisi ndio akili yenyewe, akumbuke alipokosea arekebishe.
Hivi unajua ilivyo kazi na stress kuishi na a broke guy!! Kiiila unachofanya anakihesabu, hata makosa ya kawaida ya kibinadamu anayajudge mwisho wa siku anakuwa a turn off hata genye nae huna. Na ni visiraniii hatari, wana kazi ya kuhesabu tu mabaya.
Hahahahahha mabayaj jamani! Mbona wakiwa na hela mnakuwa hamuwafikrii namna hio aisee...Wakati una download mawigi ya laki 7 kwa jonijo na kuzunguka na crown mafuta full tank kila wakati na mnalala Ramada kila weekend ya mwisho wa mwezi huwa hamuoni kuwa jamaa ni judgemental?

Yani hata akikupiga biti usiongee na simu wakati mpo wote huwa unaitikia yes hubby. Ila siku akifulia tu order anazokupa unahisi kama anakubana na kukunyima uhuru? Muogopeni Mungu aisee
 
Sasa why ukahangaike kwa mwamposa wakati na wa mwamposa nae anahangaika huko kivyake!! Wewe tafuta tulizo la moyo then tulia lea watoto wako taratiiiiibu bila kelele wala mbwembwe.
Haa haaa haa utaacha watu washindwe kulala pressure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikucheza taratiiiibu, eti jamani wasiolewa wakeshe kwa mwamposa na walio olewa nao tukeshe eti waume watulie hiyo haiwezekani kabisa.
 
Kukosa akili ni subjective, huwezi date na kichaa hilo naamini! Kama njaa ndio zinakuongoza huwezi kaa ukafurahia mapenzi hata siku moja na ni ngumu kuwa na bahasha mmoja.
Sasa mnataka tukale polisi?
Mtulie tuwapende simbilisi nyie. Tunawapenda ninyi na pesa zenu, hivyo msiwe na hofu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kunywa bia za kutosha,andaa gunia 2 za mkaa kisha usitumie tutakukosa mtaani na ushauei utakosa.
 
Ndio point ya msingi! Mwanamke ktiwa hataki...Kumsikiliza mume hataki sasa hapo mke anakuwaje mke?
Hata mie nashangaa inakuwaje mume ukamshindwa mkeo???

Yaani mkeo anakushinda???

Nini maana ya kuwa mwanaume/baba wa family??

Baba si ni nguzo/kichwa cha family inakuwaje uikimbie nyumba yako kisa mke???
 
Back
Top Bottom