Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,649
- Thread starter
-
- #241
Yaani wewe unavyoishi kwa matatizo unadhani na wengine tunaishi kwa matatizo. Lissu uwa anasaidia watu wengi kesi mahakamani zikiwepo za madai toka wakati anafanya kazi na LEAT, je alikuwa na njaa? Tabu sana hii tunapokurupuka kuchangia mada bila kujua dhima ya mada husika.Pole sana.Ila Nina mashaka tatizo lako linasababishwa na njaa .
Aende tu watampakua pilau n biriani,yani mixNasikia kuna pilau na Biriani ya hatari.
Baada ya kusoma taarifa alizozitoa Lissu katika vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kuhusu afya ya Rais na hatimae kueneza taarifa kuwa Rais karejea kwa muumba, ilinisababishia mshituko mkubwa na kuleta tatizo kiafya:
Kwanza nilipata mshituko wa moyo ikizingatiwa Rais ni kiongozi wa nchi. Ni nembo ya Taifa. Hivyo naipenda nchi yangu. Na mnampenda Rais wangu.
Pili, Kutokana na uwasilishaji wa hiyo taarifa ya Lissu na wenzake katika Twitter. Walitumia maneno ya kashifa kwa kiongozi wa nchi. Hii ilileta usumbufu kwangu kwa baadhi ya watu huku niliko kutumia maneno ya Lissu na wenzie kumsema vibaya Rais. Hii ilishusha hadhi ya nchi yangu na kusababisha dharau na kejeli.
Lissu alisababisha jamii za watu tofauti kumwamini hivyo kujenga sura hasi kwangu kama Mtanzania. Niliathirika kisaikolojia.
Hivyo Lissu na wenzake wanawajibika katika kunisababishia maumivu ya moyo na kisaikolojia.
Nipo tayari kuwasilisha ushahidi wa daktari. Na wataalamu wa saikolojia.
Pia na jiandaa kuishitaki Serikali kwanini haijachukua hatua dhidi ya Lissu na wenzake waliosababisha habari hizi za uongo kuenea wakati wakijua Rais ni nembo ya Taifa. Kuumwa ni swala la kawaida. Lakini kwanini waeneze uongo na hata habari za kifo.
Je, walikusudia kuleta sintofamu katika nchi? Eti Polisi wanaenda kumkamata fundi wa simu. Nadhani wanatania. Ingieni huko Twitter muone kama ni huyo fundi kaeneza hz taarifa pekee. Source anaachwa.
Hivyo nitashitaki Jeshi la polisi kwa uzembe wakutochukua hatua na kuacha taarifa kusambaa wao wametulia tu na kuzua taharuki kwa jamii.
I you have convinced and accepted.Hunitoi kwenye kile nilichokikusudia baki na nembo zako.

Hivyo nitashitaki Jeshi la polisi kwa uzembe wakutochukua hatua na kuacha taarifa kusambaa wao wametulia tu na kuzua taharuki kwa jami
Lisu ni mtu wa hovyo na dunia inaendelea kuthibitisha kwamba ni wa hovyo kadri anavyoendelea kutoa taarifa za uongo kuhusu Taifa na viongozi wetu.Anajaribu kuchonganisha Taifa na mataifa mengine kwa chuki na ubinafsi wake.Hadhi yake imeshuka mno kwani tunajua ni muongo tu Hana jipyaBaada ya kusoma taarifa alizozitoa Lissu katika vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kuhusu afya ya Rais na hatimae kueneza taarifa kuwa Rais karejea kwa muumba, ilinisababishia mshituko mkubwa na kuleta tatizo kiafya:
Kwanza nilipata mshituko wa moyo ikizingatiwa Rais ni kiongozi wa nchi. Ni nembo ya Taifa. Hivyo naipenda nchi yangu. Na mnampenda Rais wangu.
Pili, Kutokana na uwasilishaji wa hiyo taarifa ya Lissu na wenzake katika Twitter. Walitumia maneno ya kashifa kwa kiongozi wa nchi. Hii ilileta usumbufu kwangu kwa baadhi ya watu huku niliko kutumia maneno ya Lissu na wenzie kumsema vibaya Rais. Hii ilishusha hadhi ya nchi yangu na kusababisha dharau na kejeli.
Lissu alisababisha jamii za watu tofauti kumwamini hivyo kujenga sura hasi kwangu kama Mtanzania. Niliathirika kisaikolojia.
Hivyo Lissu na wenzake wanawajibika katika kunisababishia maumivu ya moyo na kisaikolojia.
Nipo tayari kuwasilisha ushahidi wa daktari. Na wataalamu wa saikolojia.
Pia na jiandaa kuishitaki Serikali kwanini haijachukua hatua dhidi ya Lissu na wenzake waliosababisha habari hizi za uongo kuenea wakati wakijua Rais ni nembo ya Taifa. Kuumwa ni swala la kawaida. Lakini kwanini waeneze uongo na hata habari za kifo.
Je, walikusudia kuleta sintofamu katika nchi? Eti Polisi wanaenda kumkamata fundi wa simu. Nadhani wanatania. Ingieni huko Twitter muone kama ni huyo fundi kaeneza hz taarifa pekee. Source anaachwa.
Hivyo nitashitaki Jeshi la polisi kwa uzembe wakutochukua hatua na kuacha taarifa kusambaa wao wametulia tu na kuzua taharuki kwa jamii.
Unajua concept ya burden of proof kwenye kesi za madai.....?Baada ya kusoma taarifa alizozitoa Lissu katika vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kuhusu afya ya Rais na hatimae kueneza taarifa kuwa Rais karejea kwa muumba, ilinisababishia mshituko mkubwa na kuleta tatizo kiafya:
Kwanza nilipata mshituko wa moyo ikizingatiwa Rais ni kiongozi wa nchi. Ni nembo ya Taifa. Hivyo naipenda nchi yangu. Na mnampenda Rais wangu.
Pili, Kutokana na uwasilishaji wa hiyo taarifa ya Lissu na wenzake katika Twitter. Walitumia maneno ya kashifa kwa kiongozi wa nchi. Hii ilileta usumbufu kwangu kwa baadhi ya watu huku niliko kutumia maneno ya Lissu na wenzie kumsema vibaya Rais. Hii ilishusha hadhi ya nchi yangu na kusababisha dharau na kejeli.
Lissu alisababisha jamii za watu tofauti kumwamini hivyo kujenga sura hasi kwangu kama Mtanzania. Niliathirika kisaikolojia.
Hivyo Lissu na wenzake wanawajibika katika kunisababishia maumivu ya moyo na kisaikolojia.
Nipo tayari kuwasilisha ushahidi wa daktari. Na wataalamu wa saikolojia.
Pia na jiandaa kuishitaki Serikali kwanini haijachukua hatua dhidi ya Lissu na wenzake waliosababisha habari hizi za uongo kuenea wakati wakijua Rais ni nembo ya Taifa. Kuumwa ni swala la kawaida. Lakini kwanini waeneze uongo na hata habari za kifo.
Je, walikusudia kuleta sintofamu katika nchi? Eti Polisi wanaenda kumkamata fundi wa simu. Nadhani wanatania. Ingieni huko Twitter muone kama ni huyo fundi kaeneza hz taarifa pekee. Source anaachwa.
Hivyo nitashitaki Jeshi la polisi kwa uzembe wakutochukua hatua na kuacha taarifa kusambaa wao wametulia tu na kuzua taharuki kwa jamii.
Lissu asiyemfahamu, kama wewe, humwona ni hazina ya busara kumbe mnafiki, mmbea, ulmzandiki, na mjuaji hovyo hovyo.Naona Lissu bado ni mtaji kwa wasaka vyeo...
Mi wakili, sema unataka umdai sh ngapi kwa mfano?
Ukilaza unao wewe mwenyewe kwani Lissu ni nani, asiyeweza kufunguliwa kesi. Acha kumwabudu mtu. Ok Lissu amekuwa mwanasheria kwa miaka mingi. Unajua kesi ngapi alishapoteza mahakamani? Muulize kwann alitelekeza LEAT? Usinitishe namjua Lissu zaidi yako unaemjulia kwenye mikutano ya siasa. Sina akili ya za kiushabaki. Naakili za kujitegemea.Ni kutafuta sifa za kijinga tu, we kilaza ndiye wa kumfungulia Lisu kesi?!!!!!!. Kama hauna kazi kacheze kombolela ukimaliza kaoge ulale.
We kilaza tu umejaza mavi kichwani si ubongo. Unajipendekeza hadi unakera.Ukilaza unao wewe mwenyewe kwani Lissu ni nani, asiyeweza kufunguliwa kesi. Acha kumwabudu mtu. Ok Lissu amekuwa mwanasheria kwa miaka mingi. Unajua kesi ngapi alishapoteza mahakamani? Muulize kwann alitelekeza LEAT? Usinitishe namjua Lissu zaidi yako unaemjulia kwenye mikutano ya siasa. Sina akili ya za kiushabaki. Naakili za kujitegemea.
Yaani kuna watu humu ndo unaweza jua awafikirii bali wanaushabaki. Sheria haifuati ushabiki, na sheria si siasa. Bali ni FACTS. Ondoa ushabiki jikite kwenye Principal za kisheria.
Sheria za madai, zinavigezo vyake. Wala hakuna sehemu inasema kwakua ni Lissu, Sheria itamuogopa. Napia utambue sifungui kesi kwa sifa. Who told you kesi za madai zinazingatia sifa? Hii inaonesha namna gani huna uelewa kabisa katika mambo ya sheria.
Again I say, Law is not politics where you can speak what you feel, Law does not depend on the support of people, but Law is based on principals, facts in issue, a well established procedures and rules of the court in presentation of the matter before the court of Law. You can maneuver in politics, play with the mind of the people but never ever in Law.
OK, hajafa kama usemavyo wewe. Sasa yuko wapi? Unao ushahidi umemuona akiwa hai?Baada ya kusoma taarifa alizozitoa Lissu katika vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kuhusu afya ya Rais na hatimae kueneza taarifa kuwa Rais karejea kwa muumba, ilinisababishia mshituko mkubwa na kuleta tatizo kiafya:
Kwanza nilipata mshituko wa moyo ikizingatiwa Rais ni kiongozi wa nchi. Ni nembo ya Taifa. Hivyo naipenda nchi yangu. Na mnampenda Rais wangu.
Pili, Kutokana na uwasilishaji wa hiyo taarifa ya Lissu na wenzake katika Twitter. Walitumia maneno ya kashifa kwa kiongozi wa nchi. Hii ilileta usumbufu kwangu kwa baadhi ya watu huku niliko kutumia maneno ya Lissu na wenzie kumsema vibaya Rais. Hii ilishusha hadhi ya nchi yangu na kusababisha dharau na kejeli.
Lissu alisababisha jamii za watu tofauti kumwamini hivyo kujenga sura hasi kwangu kama Mtanzania. Niliathirika kisaikolojia.
Hivyo Lissu na wenzake wanawajibika katika kunisababishia maumivu ya moyo na kisaikolojia.
Nipo tayari kuwasilisha ushahidi wa daktari. Na wataalamu wa saikolojia.
Pia na jiandaa kuishitaki Serikali kwanini haijachukua hatua dhidi ya Lissu na wenzake waliosababisha habari hizi za uongo kuenea wakati wakijua Rais ni nembo ya Taifa. Kuumwa ni swala la kawaida. Lakini kwanini waeneze uongo na hata habari za kifo.
Je, walikusudia kuleta sintofamu katika nchi? Eti Polisi wanaenda kumkamata fundi wa simu. Nadhani wanatania. Ingieni huko Twitter muone kama ni huyo fundi kaeneza hz taarifa pekee. Source anaachwa.
Hivyo nitashitaki Jeshi la polisi kwa uzembe wakutochukua hatua na kuacha taarifa kusambaa wao wametulia tu na kuzua taharuki kwa jamii.
Umavi unao wewe katika ubongo wako, mashaka yangu ni malezi yako! Kutukana kwako walaaa hakunifanyi nitishike. Am so strong than the way you think. Uwezi nitoa kwa jambo nalo likusudia. Take time to think on your stupidity trick!We kilaza tu umejaza mavi kichwani si ubongo. Unajipendekeza hadi unakera.
Ninaloongelea hapa ni swala la kisheria. Si hadithi! Unajua nashangaa watu wanaponi attack. Mimi si Serikali kujibu yu wapi? Nachosema Lissu alitamka. Waziri Mkuu nae akatamka. Naamini maelezo yapi hapo? Nani yupo karibu na Rais? Kati ya Lissu na Waziri Mkuu? Tena akatupa salamu zake.OK, hajafa kama usemavyo wewe. Sasa yuko wapi? Unao ushahidi umemuona akiwa hai?
Haya mambo wa kulaumiwa ni serikali maana hakuna haja za kuficha alipo Mkuu na pia hata kama ni mgonjwa kuieleza jamii ielewe.
JK alipokuwa kalazwa US na kufanyiwa operesheni ya tezi dume alikuwa anatutaarifu kwa kutupa salamu za maendeleo yake.
Hata aliporudi pale Airport aliitisha press na kueleza kwa kina ameumwa nini na tezi dume hasa ni nini.
Analifanya hivyo sio kama JK bali kama Rais maana anajua yeye ni "public property" hajimiliki Bali anamilikiwa na wanao mtunza yeye na family yake kwa kodi zao.
Duuuh! Hivi Lissu akiwa siyo Raia wa Tanzania hashitakiwi? Hivi Lissu akiwa asylum seeker wa Belgium hawezi shitakiwa? Niombe wanasheria na Chama cha sheria wajitahidi kuwa na makala ya sheria kwa kila wiki walau raia wengi wawe wanajua sheria na taratibu zake.Unamshitaki Lissu wakati sio raia wa Tanzania?
He is in asylum processes in Belgium,