Nafikiria kufungua kesi ya Madai dhidi ya Lissu na Wenzie

Nafikiria kufungua kesi ya Madai dhidi ya Lissu na Wenzie

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wahi umechelewa
 
Usisahau kuja na ushahidi wa dkt wa milembe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Huhitaji nipangia ushahidi. Hii ni kesi binafsi ya madai. Nadhani kapimwe akili. Ndio utajua jambo binafsi halipangiwi.
 
Kutukana najua sana. Nyani haoni kundule. Niishie hapo. Ila mpumbavu uwa anajibu hoja kwa matusi. Hii uonesha uwezo wake wa kufikiri. Asante kwa mdomo wako usiojua kujibu hoja.
Eti utamshtaki Tundu Lissu, jinga sana wewe, mlienda mkapimpiga Risasi 38 ili afe na hakufa kwa ukuu wa MUNGU wetu, na huyo aliyeagiza auawe ndio kafa yeye.

Mlikuja kwa njia moja mkatawanyika kwa njia Saba.

HAKIKA MUNGU SI MWANADAMU.
Mataga mtakoma mwaka huu, Tuliwaonyosha hamkusikia [emoji32]
 
Eti utamshtaki Tundu Lissu,jinga sana wewe,mlienda mkapimpiga Risasi 38 ili afe na hakufa kwa ukuu wa MUNGU wetu,na huyo aliyeagiza auawe ndo kafa yeye.
Mlikuja kwa njia moja mkatawanyika kwa njia Saba.
HAKIKA MUNGU SI MWANADAMU.
Mataga mtakoma mwaka huu,Tuliwaonyosha hamkusikia [emoji32]
Ujinga unao wewe unae kariri risasi. Hayo hayanihusu na sijayaongelea hapa. mjinga ubwabwaja bila kujua kinachoongelewa.
 
Tofautisha msiba wa kweli wa ndugu na kuzusha habari za uongo za msiba tena Rais wa nchi. Ndugu akifa nitaarifa halisi si uongo. Ni hakika.
Kwahiyo wewe ndiyo msemaji wa serikali kukanusha hizo habari?

Je huoni kwa bandiko lako hili tayari unaishushia serikali heshima mbele ya wananchi na unapashwa kushitakiwa?
 
Tofautisha msiba wa kweli wa ndugu na kuzusha habari za uongo za msiba tena Rais wa nchi. Ndugu akifa nitaarifa halisi si uongo. Ni hakika.
Habib Machange si unamfahamu? Wachukue Polisi muende pale ofisini kwake kwani ndiye Mhusika Mkuu. Tena ikiwezekana uende na kile kigazeti chake kama ushahidi.
 
Back
Top Bottom