Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,649
- Thread starter
- #41
Wanasheria wananielewa....Kwahiyo wewe ndiyo msemaji wa serikali kukanusha hizo habari?
Je huoni kwa bandiko lako hili tayari unaishushia serikali heshima mbele ya wananchi na unapashwa kushitakiwa?