Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,649
- Thread starter
- #81
Waziri mkuu ametutangazia majuzi kuwa Rais yupo na anaendelea na majukumu. Si lazima azurure kariakoo ndo tujue yupo. Hivyo hadi sasa kwa kauli hiyo tunaamini yupo. Ikingundulika vinginevyo nayo tutashitaki bado. Ndo maana kwa madai yangu serikali nayo nimeihusisha katika mashitaka.ili ionekane kaleta taharuki waseme yupo wapi na ana hali gani atakuwa hatiani ikiwa alivyoonena ni tofauti na uhalisia