IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 545
Unaushahidi tukuamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani katika maelezo yangu nimeeleza ushahidi ninao na nitauwasilisha Mahakamani. Siwezi weka ushahidi hadharani kabla ya kuwasilisha Mahakamani.Unaushahidi tukuamini
Mwenzenu kavurugwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wahi umechelewa
Nasaha kwako natwaa ..kwa rika mimi ni babu ingawa sina kipara. Aliye kutenda mtende.wala usighairiNadhani katika maelezo yangu nimeeleza ushahidi ninao na nitauwasilisha mahakamani. Siwezi weka ushahidi hadharani kabla ya kuwasilisha mahakamani.
Sawa mkuu, kwa hyo unafungua kesi kwa maslai ya nani? na je unayemfungulia kesi ni RAIA Wa wapi? Wewe kama wewe binafsi utapata faida gani? kwa nini tu usiache serikali ifungue kesi yenyewe kama imeona kuna kosa.Swali zuri, ila swala la fedha ni swala binafsi. Naomba nisikujibu katika hili. Asante!
Nipo, njema kabisaUpo? Za masiku?
Kama umenisoma uzuri, nimeeleza wazi kwanini na fungua kesi. Hivyo utajua maslahi ni yanani. Mie siangalii uraia wake. Sheria inaniruhusu kufungua kesi mahala kokote kwa mujibu wa sheria. Hata sheria za kimataifa zipo bila kuangalia uraia wa muhusika.Sawa mkuu,kwa hyo unafungua kesi kwa maslai ya nani?,na je unayemfungulia kesi ni RAIA Wa wapi?,we kama wewe binafsi utapata faida gani?,kwa nini tu usiache serikali ifungue kesi yenyewe kama imeona kuna kosa.
Hiyo hela ya kuweka Wakili so unywee kvant,uachane na maisha ya ukudaukuda.
Hili alinihusu, make ndo nalisikia kwako.Usiishie hapo pia unatakiwa uwaunganishe na wale waliomzushia kifo Mbowe na Mlema.
Sawa mkuuKama umenisoma uzuri, nimeeleza wazi kwanini na fungua kesi. Hivyo utajua maslahi ni yanani. Mie siangalii uraia wake. Sheria inaniruhusu kufungua kesi mahala kokote kwa mujibu wa sheria. Hata sheria za kimataifa zipo bila kuangalia uraia wa muhusika.
Sheria za madai zinaeleza wazi ni nini matokeo ya ufunguzi wa madai, so sihitaji kukueleza faida hii si biashara. Serikali watajijua wao. Mie naongelea athari iliyonipata.
Fedha ipo ili itumike, na inaweza tumika kivyovyote ila tu matumizi hayo yasivunje sheria ya nchi au sheria za kimataifa. Kumbe kudai haki yangu ni ukudaukuda? Mmmmh! Wanasheria wataona kama ni ukudaukuda au nasimamia haki yangu!
Sio kila nywele ni akili..zingine ni kuficha umbo la kichwa.Duuh! Ama kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake!
Ha ha ha, Sidhani kama Lisu ni mwamba wa sheria. Ila nachojua Lisu ni mwanasheria mzuri. Hivyo kuna wanasheria wengi wazuri Tanzania kama yeye.Ni Wakili gani hapa bongo atamshinda huyo mwamba Wa sheria .
Sawa mkuu,kama fedha ya kuchezea IPO,huyo mwamba naye ni nguli Wa sheria balaa.
Hivi wabongo mnaona uteuzi ni deal! Ha ha ha! Ningetaka uteuzi ni kazi ndogo. Sisubiri kupigania haki yangu ndo nionwe. Napenda life staili niliyonayo. Sihitaji zaidi ya hapo.Chapakazi mkuu utateuliwa tu sio lazima ujifedheheshe
Tatizo la lisu amesoma sheria alafu ana kipaji cha sheria on top of thatHa ha ha, Sidhani kama Lisu ni mwamba wa sheria. Ila nachojua Lisu ni mwanasheria mzuri. Hivyo kuna wanasheria wengi wazuri Tanzania kama yeye.