Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,649
- Thread starter
- #61
MmmmhSatire. Isn't it? Uzembe kila mahali! Na haya ndiyo makosa ya kuchanganya utaalamu na siasa ndio maana weledi unakosekana kila idara!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmmhSatire. Isn't it? Uzembe kila mahali! Na haya ndiyo makosa ya kuchanganya utaalamu na siasa ndio maana weledi unakosekana kila idara!
Kuwa na adabu. Najua kutukana ila nakuheshimu. So jiheshimu. Tusije geuza hapa eneo la matusiSafari hii nitakubandua bila huruma
Kuhoji sawa. Ushahidi wa hayo mengine ninao.Lissu katumia haki yake ya kikatiba kuhoji alipo mwajiriwa wetu wa nafasi ya urais. Sasa sijajua unatumia kifungu gani cha sheria ambacho kinazuia mwananchi kuhoji alipo rais ili kumshtaki lissu? Kwenye taarifa ya lissu hakuna pahali kasema kuwa rais kafa.
Hata msaada wa kisaikolojia unahitajia naona kama kidish hakapo sawaSina haja ya teuzi.
Vipi kuhusu waliomzushia Mbowe, John Mrema na profesa Sarungi kuwa wamekufa hadi kuandika gazetini nao utawaunganisha kwenye hiyo kesi, au kunya anye kuku akinya bata kachafua?Kuwa na adabu. Najua kutukana ila nakuheshimu. So jiheshimu. Tusije geuza hapa eneo la matusi
Kuhoji sawa. Ushahidi wa hayo mengine ninao.
Haki ipi?
Yaani hata hujui unachokitaka ndo ukasimame kwenye kesi na Lissu? Mtu ambaye serikali nzima na mihimili yake na chama twawala kwa pamoja wanamuogopa?![emoji16][emoji16]Mahakama itatasema
Waliopata athari wanaweza chukua hatua. Hiyo habari ndo naisikia kwako.Vipi kuhusu waliomzushia mbowe, john mrema na profesa sarungi kuwa wamekufa hadi kuandika gazetini nao utawaunganisha kwenye hiyo kesi, au kunya anye kuku akinya bata kachafua?
Sijatoa mawazo kumsaidia mtu. Bali kujulisha umma nitachukua hatua za kisheria kwa kuathirika na habari potofu zilizotolewa. Lakini pia nikasema nitaishitaki serikali kwa uzembe. Hivyo ukisoma madai yatakayo wasilishwa na mawakiri ndo utafahamu lengo kuu. Hapa ni kwa ufupi.Kwa mawazo yako haya unamsaidia nani ?! . Ni kweli tu kuwa zaidi ya wiki mbili Mzee haonekani. Lakini pia ni kweli tu kuwa kiongozi wetu ni mtu (binaadamu) anayeweza kupata changamoto .
Tatizo naliona kwa watoa habari wa ikulu . Ambao tangu jambo hili linaanza kuenea nao wamechagua kukaa kimya. Ujue Rais ni kiongozi wa nchi na watu wake. Jambo linalomgusa linagusa watu wake pia, hivyo wanayo haki ya kujua yanayomsibu. So kufanya siasa kali hakuwezi kumsaidia yeyote wa taifa.
Nisome Vizuri, sijaongelea Tundu Lissu kuhoji? Naushahidi siwezi weka hapa, ambapo Lissu amehusika kutoa taarifa kadhaa hata vyombo vya kimataifa vimemnukuu kuwa ni Lissu kasema. Achana na kauli ya mwanzo aliyo hoji. Angeishia hapo sawa hakuna tatizo. Ila yaliyoendelea.Lissu katumia haki yake ya kikatiba kuhoji alipo mwajiriwa wetu wa nafasi ya urais. Sasa sijajua unatumia kifungu gani cha sheria ambacho kinazuia mwananchi kuhoji alipo rais ili kumshtaki lissu? Kwenye taarifa ya lissu hakuna pahali kasema kuwa rais kafa.
Waliopata athari wanaweza chukua hatua. Hiyo habari ndo naisikia kwako.
Kabla hujafungua hiyo kesi yako, tueleze basi Rais yuko wapi? ili uwe na uhalali wa kufungua kesi, maana ukifungua kesi bila kuweka wazi alipo Rais utaangukia pua maana utakuwa huna ushahidi wa kusimamia kesi yakoNisome Vizuri, sijaongelea Tundu Lisu kuhoji? Naushahidi siwezi weka hapa, ambapo lisu amehusika kutoa taarifa kadhaa hata vyombo vya kimataifa vimemnukuu kuwa ni Lisu kasema. Achana na kauli ya mwanzo aliyo hoji. Angeishia hapo sawa hakuna tatizo. Ila yaliyoendelea.
Mungu wa upendo si chuki! ndo mnagundua leo wakati mnamwagia wenzenu risasi mlikuwa hamjui? Au mnataka huruma? Haonewi mtu huruma tutaanza na Buzza halafu haki zingine zitafuata jela ni maweni tanga mtagonga kokoto hadi mwisho wa maisha yenu.Nitoke hapa niende wapi? Kuwa makini. Mungu ni Mungu wa Upendo si chuki.
Ndugu yangu. Kutendewa baya si kulipa baya. Kuna wengi walopatwa na mabaya zaidi hata ya Lissu. Hapa duniani kuna mengi. Lakini kama Lissu anawajua kwanini asifungue kesi? Mpaka leo hakuna ajuae alie fanya hicho kitendo. Ni hisia na ushabiki ndo vimetujaa. Nisiende huko hayanihusu yangu ni haya tu.Ccm ni wa kulaumiwa. Wao ndiyo wamemfanya Lisu awe jinsi alivyo. Kama Lisu asingelipigwa risasi sidhani kama angekuwa anatoa taarifa kama anazozitoa.
Huko Lumumba mjifunze. Acheni kuonea watu na kulemaza watu bila sababu ya msingi. Huyu Lisu ni jini lenu. Mmelitengeneza wenyewe na litawameza wote hadi mtie akili.
Kwa kifupi wewe humuwezi Lissu . Labda muamue kutumia mzinga safari hii .Sijatoa mawazo kumsaidia mtu. Bali kujulisha umma nitachukua hatua za kisheria kwa kuathirika na habari potofu zilizotolewa. Lakini pia nikasema nitaishitaki serikali kwa uzembe. Hivyo ukisoma madai yatakayo wasilishwa na mawakiri ndo utafahamu lengo kuu. Hapa ni kwa ufupi.