Nafikiria kumpiga chini huyu Mwanamke, hajui kuishi kwa bajeti

Watu wanaona kuzungumza na mtu ni kugumu....kuliko kuachana
Hiyo ni typical symptom ya broken heart,mtu keshavunjika moyo mara nyingi kiasi kwamba kuachana kwake ni jambo la kugusa tu. Mtu kama huyu ndio afunge "pingu za maisha" kweli?
 
Ul
Ulirithi kwa nani tabia yako ya uchoyo?
 
kama asubuhi mkapikaa kasupuu..mchana karost...usiku karost sasaa inaachaje kuisha πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ na wewe ndo unaongoza kula finyango
 
Wewe mwenyewe nunua nyama kilo moja, nenda nyumbani igawe mara 4 halafu Mwambie awe anapika robo kilo kwa mlo mmoja.
Vitu vingine ni vya kijinga sana kuomba ushauri unajiabisha.
umaskinii mkuu..! kingine ubinafsiii japoo huyo mwanamke nae kiloo ya ngombe kwa siku moja ni nyingi sana ingekuwa KITIMOTOO nisingemlaumuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…