Nafikiria kumpiga chini huyu Mwanamke, hajui kuishi kwa bajeti

Mbona kasi ya wanaume ku mind budget ya misosi inazidi kuongezeka sana😅
 
Nimecheka sana 😂😂😂😂

Ila huto tujuisi waga tutamu mno🤗
 
Ila una
msimanga ,chakula is just a minor thing, hamna kitu kizuri kama kumlisha mtu akashiba

Mi napenda nile nishibe ndo hua napata mood nzuri

By the way your wife is Foodie, badala ya kuleta nyama kilo try kuleta mboga mbali mbali i think she will love it
 
Idadi ya wanawake ombaomba nayo imezidi sana😂
Wanawake ni kama nature tu coz tumeumbwa kupokea ila mwanaume anafatilia hadi nyanya zitumike ngapi kwenye mboga wala hainogi kwakweli 🤣 maybe anajua kipato cha my wake so nyingine anakaanga wanakula kavu na ugali
 

Mlete tumfunde

Asibomoe nyumba yake
 
Ww unasehemu mko wawili jiulize mara mbili humuwez kuwa wawiki bro, kuna kivuli apo kina kutafunia pesa zako hzo unazotoa mna share nae huyo binti, funguka bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…