Nafikiria kumpiga chini huyu Mwanamke, hajui kuishi kwa bajeti

Tunafuata muongozo wa biblia!
Tupeni hela mara kwa mara muone kama tutawaomba.πŸ™„
Mambo ya biblia ukiyafata yote ni hatari kwako

Mfano wa kuoa mke mmoja ni hatari Sana maana wanawake wapo wengi na wanaume waoaji wachache so biblia unabidi kuifanyia amendment
 
Hatari kwenu au kwetu???

Tutaunga mkono hoja yale yanayotupendelea tu!!!🀝🏾
 
Hiyo ni typical symptom ya broken heart,mtu keshavunjika moyo mara nyingi kiasi kwamba kuachana kwake ni jambo la kugusa tu. Mtu kama huyu ndio afunge "pingu za maisha" kweli?
Pia Kuna hulka ....Kuna watu hawawezi kuwa waumw...,hawawezi kucontrol family
 
Mambo ya biblia ukiyafata yote ni hatari kwako

Mfano wa kuoa mke mmoja ni hatari Sana maana wanawake wapo wengi na wanaume waoaji wachache so biblia unabidi kuifanyia amendment
Mkuu acha kupotosha
 
Si ulikuwa unampelekaga kwenye kitimoto mnaagiza kilo wawili?
 
Looh kwa hisabati hizo naanza kuwaelewa wale wanaokataa ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…