Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Yani niwe mkaidi kabisa???😳😂,utafata miongozo ya biblia mpaka lini!! ni muda wa kufata miongozo yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani niwe mkaidi kabisa???😳😂,utafata miongozo ya biblia mpaka lini!! ni muda wa kufata miongozo yako
Mambo ya biblia ukiyafata yote ni hatari kwakoTunafuata muongozo wa biblia!
Tupeni hela mara kwa mara muone kama tutawaomba.🙄
😂😂 haya we endelea kupokea izo pesa sasaYani niwe mkaidi kabisa???😳
Hatari kwenu au kwetu???Mambo ya biblia ukiyafata yote ni hatari kwako
Mfano wa kuoa mke mmoja ni hatari Sana maana wanawake wapo wengi na wanaume waoaji wachache so biblia unabidi kuifanyia amendment
Ishi naeMleta mada kind of husband👆🤣
haa staki ujinga mmMleta mada kind of husband👆🤣
Very sad generation 😭Nowadays people would rather lose you than fix the situation.
Pia Kuna hulka ....Kuna watu hawawezi kuwa waumw...,hawawezi kucontrol familyHiyo ni typical symptom ya broken heart,mtu keshavunjika moyo mara nyingi kiasi kwamba kuachana kwake ni jambo la kugusa tu. Mtu kama huyu ndio afunge "pingu za maisha" kweli?
Mkuu acha kupotoshaMambo ya biblia ukiyafata yote ni hatari kwako
Mfano wa kuoa mke mmoja ni hatari Sana maana wanawake wapo wengi na wanaume waoaji wachache so biblia unabidi kuifanyia amendment
Hapo nimekuelewa! Uenda kuna njemba/majirani/mashoga wanakusaidia kula nyama!nakula jioni nikirudi job muda mwingi yeye ndo yupo hom
Si ulikuwa unampelekaga kwenye kitimoto mnaagiza kilo wawili?Tupo town hapa lakini cha ajabu anaishi kama tupo Itilima, hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki.
Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha kwa kutwa moja!
Wakuu hii ni kawaida kweli? Tayari nimefikiria kuchukua maamuzi magumu
Ushauri wenu tafadhali.
Kumbuka kuwa, kilo moja ya nyama mbichi ikipikwa inapunguwa robo kilo, ukitiwa na inayochapwa na mizani za wauza nyama, ukija kutowa na machalati, unabaki na nusu kilo tu ya nyama inayolika, tena hiyo sijahesabia mifupa.
Kula vizuri nyama kwa uchache ni robo kilo kwa mtu mzima mmoja kwa mlo mmoja.
Mkeo yupo vizuri hapo.

Wasiojitambua wengi hufurahi kula chakula cha 20000 wakati angepika 5000 ndo ingetumikaVijana wengi waoishi kwa wazazi watakwambia tafuta hela wakidhani matajiri wanatumia pesa hovyo.