and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Huo Sasa Ni uzwazwa. Mimi Nina MBA ya Mzumbe nimeiweka pembeni napikia watu Kitimoto kiroho Safi. Mitusi Kama yote ila navumilia maana najua jioni napata pesaSi wote wenye uthubutu wa Kufanya wasichokitarajia hata Kama maisha magumu kiasi gani...wengine wanaviamini vile vilivyomo mioyoni mwao hata iweje.
Hongera sana
Si ndiyo maana nimekuambia si wote.Huo Sasa Ni uzwazwa. Mimi Nina MBA ya Mzumbe nimeiweka pembeni napikia watu Kitimoto
Deadline ya kutuma maombi ilikuwa jana hivyo keshachelewa.Umeona mbali mkuu, umpeleke mapema vile vyuo vya LITA.
Buhuri-Tanga
Lita Morogoro
Lita Mpwapwa
Lita Mabuki
Lita Kikulula
Lita Madaba
Temeke
Lita Tengeru
Aende tu chuo husika akawaachie form hukohukoDeadline ya kutuma maombi ilikuwa jana hivyo keshachelewa.
Ukiwa na interest lazima utatafuta utaalamu.Kufanya kitu hauhitaji uwe na utaalamu personally (ndio maana wataalamu wapo)
Kufanya kitu inabidi uwe na interest, kufanya kitu ni work in progress (unajifunza kila kukicha... elimu haina mwisho).., NARUDIA tena kufanya kitu inabidi uwe na Interest (Ndio maana cha maana ni muhusika anataka kufanya nini na sio mzazi wake anataka muhusika afanye nini)
Muumba katupa uelewa tofauti sana....Unajua maana ya kuongeza (kuongeza ni kuongezea ulichonacho) na hata ukiwa na PHD ya fani fulani bado utaongeza skills kutokana na wakati na mabadiliko...., kupata skills ya kitu fulani unaweza ukachukua apprenticeship, vocational training au kumuangalia jirani anafanya nini na kumuhoji pamoja na kujisomea how to information...
Tuna mdogo wetu wa kike hajafaulu vizuri sana ila hataki tena kusoma na kasema anapenda kujifunza kushona awe fundi.Napata tabu sana kwa watu wenye mawazo yakuajiriwa hasa wazazi wetu kwangu naona ndio tatizo,
Binafsi nimesoma biashara na mwanzoni nilipata ajira lakini sikuwahi kuona faida yoyote na nilipoamua kuacha kwa wazazi ilikuwa ni tatizo sana,
Ndani ya miezi sita niliacha kazi na sasa napambana na maisha mtaani faida yakufanya biashara ni kubwa sana kuliko hizi ajira ,
Binafsi nafanya kilimo,mifugo na biashara najisikia amani sana,
Ninaendesha miradi na ninao hao wenye fikra za ajira na kwa mwezi nalipa mishahara milioni plus,
Nashauri wazazi tuwejenge watoto wetu sumu mbaya waichukie ajira,
Nashauri sumu ifanane kama ile nyerere alioipanda Tz kumchukia Idd Amini tangu tukiwa mashuleni nyimbo nyingi za mchakamchaka asubuhi zilikuwa za chuki dhidi ya Amini.
Mwache mtoto asomee apendacho kwani fursa ipo popote kwa chochote mtu anaezingatia vizuri anachojifunza anafanikiwa.
kwahiyo unafuga na kula mwenyewe?Maisha Yana kupenda ndugu? Kazi hizi Ni shida zinatufanya tuzifanye. Nimefungua Banda la kitimoto huku Kerege sio kwa sababu napenda Bali dhiki.
Wazo zuri sana , Tusimuwekee Mungu mipaka Mungu anaweza kusaidia pale ambapo sisi tunaona hakuna uwezekano,Hapo kwenye Kujiajiri mkuu ni changamotoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unaweza somea kilimo na ukashindwa kujiajiri so cha muhimu usiangalie Maslahi yake je yeye moyo wake na akili zake viko wapi?? Kama yupo tayari kusomea hayo mambo fresh. Lakini pia Huko IFM alikuwa anasomea nini???? Kila mtu na nyota yake anaweza kuja kuibukia TRA mkuu au Bank flani hivi so usikariri suala la ajiraa..
Nilidhani ungehitimisha kwa kusema asisome akafanye biashara.Napata tabu sana kwa watu wenye mawazo yakuajiriwa hasa wazazi wetu kwangu naona ndio tatizo,
Binafsi nimesoma biashara na mwanzoni nilipata ajira lakini sikuwahi kuona faida yoyote na nilipoamua kuacha kwa wazazi ilikuwa ni tatizo sana,
Ndani ya miezi sita niliacha kazi na sasa napambana na maisha mtaani faida yakufanya biashara ni kubwa sana kuliko hizi ajira ,
Binafsi nafanya kilimo,mifugo na biashara najisikia amani sana,
Ninaendesha miradi na ninao hao wenye fikra za ajira na kwa mwezi nalipa mishahara milioni plus,
Nashauri wazazi tuwejenge watoto wetu sumu mbaya waichukie ajira,
Nashauri sumu ifanane kama ile nyerere alioipanda Tz kumchukia Idd Amini tangu tukiwa mashuleni nyimbo nyingi za mchakamchaka asubuhi zilikuwa za chuki dhidi ya Amini.
Mwache mtoto asomee apendacho kwani fursa ipo popote kwa chochote mtu anaezingatia vizuri anachojifunza anafanikiwa.
hata akina messi walienda academy na miaka 6 tu sie ndo tunajicheleweshaga tu basi hakuna kingne nadhan100%
Wewe ndio mzazi mwenyewe vision, nakusapoti
True mzee...mafanikio ya Mtu ni fumbo kubwa sana!! Mfano mimi watu waliosoma masomo ya Science kama PCM na PCB hata wakiperform ni ngumu sana kukuta ajira zinawatafutaa... Ila watu waliosoma Biashara wakipasua Chuo GPA za maana aisee huwaga mapema tu wanatoboaa..Wazo zuri sana , Tusimuwekee Mungu mipaka Mungu anaweza kusaidia pale ambapo sisi tunaona hakuna uwezekano,
lakini waswahili wanasema uvumilivu nao kipaji pia..unajua wengi wetu tunataka leo unaomba na kesho unapata ndo sie bnadamu haoWazo zuri sana , Tusimuwekee Mungu mipaka Mungu anaweza kusaidia pale ambapo sisi tunaona hakuna uwezekano,
ahsante sana mkuu!100%
Wewe ndio mzazi mwenyewe vision, nakusapoti
gpa za maana hizo kwio....mmhh sio kwa IFM mkuu pale ni shida ..kikubwa elimu yetu iko kwenye kuajiriwa sana kuliko kujiajiriTrue mzee...mafanikio ya Mtu ni fumbo kubwa sana!! Mfano mimi watu waliosoma masomo ya Science kama PCM na PCB hata wakiperform ni ngumu sana kukuta ajira zinawatafutaa... Ila watu waliosoma Biashara wakipasua Chuo GPA za maana aisee huwaga mapema tu wanatoboaa..