Nafsi inatamani lakini mwili unanikataa, wenye miaka 33 ama zaidi mnaenda raundi tatu bila kujilazimisha?

Nafsi inatamani lakini mwili unanikataa, wenye miaka 33 ama zaidi mnaenda raundi tatu bila kujilazimisha?

Ukifika 45 kuendelea unaanza kuhesabu sekunde mkuu Ukifikisha sec 30 mashine haijalala unajipongeza,Sasa sijui ikifika 60 huko itakuwaje,plus ndio mazonge kama yote yanajitokeza wakati huo ikiwemo tezi dume
Vijana mnachekesha sana
Mnauchambua Uchi kama hela vile,,,anyway pesa bila nyapu ni sawa na makaratasi tu
 
Back
Top Bottom