Nafsi inatamani lakini mwili unanikataa, wenye miaka 33 ama zaidi mnaenda raundi tatu bila kujilazimisha?

Nafsi inatamani lakini mwili unanikataa, wenye miaka 33 ama zaidi mnaenda raundi tatu bila kujilazimisha?

Kama ambavyo mtu utaanza kugundua umekuwa mkubwa pale unapoanza kusalimiwa na vijana wadogo basi ndivyo utavyojigundua kwa mabadiliko ya uwezo wako kwenye shoo.

Hali sio tena kama niliyoizoea, kwa sasa goli la kwanza lori lipo mteremkoni, goli la pili lori lipo tambarare lakini goli la tatu lori linapanda mlima.

Mwisho wa mlima nafika ila nachoma sana mafuta natumia nguvu sana na muda pekee na enjoy ni dakika 2 za mwishoni napokaribia kumaliza, baada ya hapo nipo nyanganyanga na kuhusu goli la nne silijui kabisa imebaki historia.

Wale wenye 33 na kuendelea, hali ni vipi?

  • Mwanaume atosheke.
  • Mwanamke atosheke.

Mnajitesa tu na stress bila sababu.
 
Kama ambavyo mtu utaanza kugundua umekuwa mkubwa pale unapoanza kusalimiwa na vijana wadogo basi ndivyo utavyojigundua kwa mabadiliko ya uwezo wako kwenye shoo.

Hali sio tena kama niliyoizoea, kwa sasa goli la kwanza lori lipo mteremkoni, goli la pili lori lipo tambarare lakini goli la tatu lori linapanda mlima.

Mwisho wa mlima nafika ila nachoma sana mafuta natumia nguvu sana na muda pekee na enjoy ni dakika 2 za mwishoni napokaribia kumaliza, baada ya hapo nipo nyanganyanga na kuhusu goli la nne silijui kabisa imebaki historia.

Wale wenye 33 na kuendelea, hali ni vipi?
Tafuta chuma kikali, alafu leta mrejesho hapa. Ushaelewa
 
mbovu......mipombe, mivyakula mibovu, matumizi makubwa ya dawa za kuongeza nguvu za kiume.....kijana wa miaka 40 unakuta ameshachoka
Halafu ni wote me na ke. Unakuta mdada bonge hlf mbichi kabisa umepiga nae round moja tu umechelewa kukojoa anakuuliza "we umalizi tu?"
ila wako njema ao kuulizia maokoto
 
Halafu ni wote me na ke. Unakuta mdada bonge hlf mbichi kabisa umepiga nae round moja tu umechelewa kukojoa anakuuliza "we umalizi tu?"
ila wako njema ao kuuliza maokoto
Asilimia kubwa tunafanya ngono na watu tusio na mapenzi nao isipokuwa tamaa za kimwili na mihemko tu na kwa wanawake mara nyingi ni kama wanajiuza ili wapate chochote kitu na maisha yaende........

Mwanamke mwenye hisia na wewe mkiwa faragha kamwe hawezi kukuuliza kuwa hujamaliza tu bali atakusaidia mmalize wote.......ukiona anakuuliza ujue tangu mwanzo hakuwa na hisia na wewe isipokuwa anafanya kwa malengo yake mengine.....
 
Kweli mkuu. Mimi niliacha kwasababu kuna siku nilibeba jimama kahaba mwandamizi. Tukiwa chumbani alinipa ushauri mzito sana kwamba kwanini kijana mdogo unataka kujiangamiza? Akaendelea kusema kuwa kashangaa sana kuniona niko kwenye ile bar nabeba kahaba. Yule dada alinipa tamu kwa bei elekezi na kunisihi nisiende kabisa pale na wala nisiendelee na ishu za uzinzi. Ni kahaba aliyeniahauri nitafute binti wa umri wangu aliyetulia nioane nae. Ingawa sikuacha ghafla lakini ilifika muda nikaacha upuuzi. Yule jimama namshukuru sana kwa kubadilisha maisha yangu.
Alikusaidia kukuepushia mabaya hata mimi alienishtua kuhusu matumizi ya kinga ni dada mmoja tukiwa chuo, alikuwa anagawa sana na hajifichi. Kuna siku aliugua nikaenda mjulia hali ndio akanishauri mengi sana mengine sikuwa hata nayajua, na niliyokuwa nayajua sikuwa nikiyazingatia. Kuanzia hapo niliona haja ya kubadilika na imekuwa hivyo mpaka sasa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukiwa huna pesa ndio unawaza kupiga mabao mengi aisee
Bao zote hizo alafu kesho yake uende kazini au kwenye biashara zako?? Wanaopiga bao nyingi hawana kazi za kufanya
 
Ujio wa umri sio kabisa....hata ukienda hizo 3,4 lakini ta.ko mbili tatu wazungu hawa hapa.
 
Piga 3 au 5 km Yanga tena bao zote speed ile ile
mnaopiga 3 hadi 5 inaonekana huwa hamuwafikishi wanawake zenu kileleni thus why mnakamia mpaka goli 5 punguza mbwembwe na ingekuwa goli la 5 ndio linatunga mimba 🤣🤣🤣sijui ingekuwaje
 
Utakua mgonjwa wewe ama lishe duni ama una madeni ama huna mzuka na huyo demu unaemgonga

Em tafuta katoto kabich ka miaka 18 mpaka 23 uone kama hujakojoa mpaka utumbo
 
Back
Top Bottom