Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mkuu,Acheni uchawi na ramli chonganishi. Lakutokea litokee kwako na familia yako Watanzania tuna Imani na huduma za Serikali yetu
Haya bwana.Acheni uchawi na ramli chonganishi. Lakutokea litokee kwako na familia yako Watanzania tuna Imani na huduma za Serikali yetu
Usitutoe kwenye reli.Ulijiandikisha kupiga Kura? π€£
Tuombe Mungu isiwe zaidi ya hapo.CCM wanahujumu mradi
Watakupopoa wale machawa! Serikali ya hovyo sana hii! Mv Bukoba ilijaza sana ikazama. Sasa Kuna kivuko kinaenda Kome Sengerema kinajaza balaa! Sio mifugo, mazao, abiria nk mpaka kinaenda upande, hakuna anayejali! Nyerere aliwahi kudai uhuru wa Nini? Tungeanza Sasa kudai uhuru! Shenzi type!Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali.
Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea halijatokea unless treni hii iko operated kwa msaada wa waliotuuzia mpaka hapo baaadae.
Sina imani kabisa
exatly kwa speed ile na mikweche waliyoleta, kuna siku thousands will perish!Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali.
Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea halijatokea unless treni hii iko operated kwa msaada wa waliotuuzia mpaka hapo baaadae.
Sina imani kabisa
Reli ipi Wakati SGR ticket zimejaa hadi February πππUsitutoe kwenye reli.
awazalo ... ndilo litakalo mtokea..Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali.
Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea halijatokea unless treni hii iko operated kwa msaada wa waliotuuzia mpaka hapo baaadae.
Sina imani kabisa
Dalili ya mnvua ni mawingu.awazalo ... ndilo litakalo mtokea..
ni muhimu zaidi kujiwazia mema π
Lazima waiua SGR CCM ni wapumbavu sn hawataki maendeleoTuombe Mungu isiwe zaidi ya hapo.
Wameahindwa Mabasi ya mwendokasi wataweza Treni.Acheni uchawi na ramli chonganishi. Lakutokea litokee kwako na familia yako Watanzania tuna Imani na huduma za Serikali yetu