Nafsi yangu inagoma kusafiri na treni ya SGR, napata hisia sio salama na ni suala la muda yatatokea ya kutokea

Nafsi yangu inagoma kusafiri na treni ya SGR, napata hisia sio salama na ni suala la muda yatatokea ya kutokea

Kuna uzembe kwenye kuna ajali kama ajali, zimetokea ajali ngapi za ndege? Kwa nini 737 max zote zilikuwa grounded kwa sababu ya ajali mbili tu?
kwanini zilitokea hizo ajali mbili? kwanini zilikua grounded hzo ndege? na kwanini treni haikuendelea na safari baada ya hutilafu kubainika?

ni Neema na baraka za Mungu kutupatia hekima na busara za kubinadamu hata haya yote yanafanyika yanavyofanyika gentleman :pulpTRAVOLTA:
 
Kuua haiui ila kuchomeshwa maize katikati ya mapori njiani ujiweke tu tayaritayari.
 
Mawazo ya hovyo sana haya.... Kwa hiyo unaombea mabaya yatokee Mradi ufeli na watu wapate ajali kwenye treni???

Haya ni mawazo ya hovyo sana yenye roho ya ushetani ndani yake....

Nayakemea mawazo Yako machafu yashindwe na yalegee.... Roho chafu iwazayo mawazo hayo ikutoke mara Moja.... "In Jesus name"
 
Back
Top Bottom