Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kwanini zilitokea hizo ajali mbili? kwanini zilikua grounded hzo ndege? na kwanini treni haikuendelea na safari baada ya hutilafu kubainika?Kuna uzembe kwenye kuna ajali kama ajali, zimetokea ajali ngapi za ndege? Kwa nini 737 max zote zilikuwa grounded kwa sababu ya ajali mbili tu?
ni Neema na baraka za Mungu kutupatia hekima na busara za kubinadamu hata haya yote yanafanyika yanavyofanyika gentleman
