Nafsi yangu inagoma kusafiri na treni ya SGR, napata hisia sio salama na ni suala la muda yatatokea ya kutokea

Wapo wengi kwanza CCM waondoke, halafu tupate katiba mpya. Nafasi zote Serikalini ziombwe na wenyesifa wapewe, tuache hii mambo ya kuteuwana kwa upendeleo wa uchama/uchawa, jinsia,ukabila, utaifa,ukada,udini na ukanda.

wajitokeze sasa. wakijificha tunahesabu "hawapo"
 
Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali.

Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea halijatokea unless treni hii iko operated kwa msaada wa waliotuuzia mpaka hapo baaadae.

Sina imani kabisa
Wewe umetumwa na wamiliki wa mabasi. Ni muhujumu uchumi wewe. Nashauri utafutwe na kushughulikiwa. Train ya mwendo kasi ni salama. Serikali ipo pale na inafuatilia kila kitu kwa ukaribu.
 
Wewe umetumwa na wamiliki wa mabasi. Ni muhujumu uchumi wewe. Nashauri utafutwe nr kushughulikiwa. Train ya mwendo kasi ni salama. Serikali ipo pale na inafuatilia kila kitu kwa ukaribu.
Na Kadogosa katumwa na nani?
 
Kuna vitu vinahitaji fact zaidi kuliko hisia, hii unayoleta hapa ni hisisa.
Sgr haina hata mwaka tayari kuna video kadhaa tik tok za madereva wake wakojitapa kuendeaha treni hiyo, nilitegemea muda huu ulikuwa muhimu kujifunza mawili matatu kuhusu chombo hicho ili walau kukitokea la kutokea wawe mahiri kuokaa jahazi, kumbuka sgr ni kitu kigeni sana kwa africa na bado hatuna madereva wenye uzoefu sana kulingana na muda iliyokaa,
Boeing 747 ina miaka karibo 60 angani na bado ni adimu sana kukuta tik tok videoz za marubani wake
Nafsi yako ikikataa sgr, bodaboda, bajaji, daladala au you tong inakuita. Ikifika huwezi kwepa gentleman 🐒
 
Huyo ni israel anakuwinda mkuu jiweke tayari
Na hakika siku utakayopanda wewe tu sgr itaweka historia hivyo kuepusha na roho za wengine wewe usipande
 
Mkuu,

Tatizo unaleta hisia katika jambo linalotakiwa kwenda kwa facts.

1. Ni fact kwamba treni linabumabuma sana bila sababu kuelezewa vizuri.

2. Ni fact kwamba uongozi wa shirika la reli uneshindwa kudhibiti matatizo haya na uneishia kulalamikia hujuma amba,o hazijathibitishwa

Kwa facts hizi mbili, watu wana haki ya kuhofia kwamba inawezekana kuna siku hizi treni zinaweza hata kugongana na kuleta maafa makubwa.
✊✊
 
Angekuwepo kuna watu wangesahaulika
 
wajitokeze sasa. wakijificha tunahesabu "hawapo"
Hawawezi kujitokeza kwa mfumo uliopo, hawatapata nafasi, kwasababu nafasi ni kwa UWT, UVCC na Mlengo huo, siyo qualification.
Kujitokeza kwao ni kazi bure kwa sasa.
 
Nafsi yako ikikataa sgr, bodaboda, bajaji, daladala au you tong inakuita. Ikifika huwezi kwepa gentleman 🐒
Hakuna mtu asiyejua hilo , hapa linazungumziwa treni linalobeba watu 900+ athari zake ni kubwa kuliko bajaji au boda boda,
Kwan zimezama boti ngapi ziwa victoria, lakini mv bukoba hadi leo inakumbukwa miaka zaidi ya 20
 
Mimi nimepanda na wala sikuwa na mawazo kama hayo. Nili enjoy tu mwanzo mwisho.
 
Hakuna mtu asiyejua hilo , hapa linazungumziwa treni linalobeba watu 900+ athari zake ni kubwa kuliko bajaji au boda boda,
Kwan zimezama boti ngapi ziwa victoria, lakini mv bukoba hadi leo i akumbukwa miaka zaidi ya 20
kama ni hivyo unababaika nini sasa hali yakua vyote vyaweza kupata hitilafu na vinaongozwa na binadamu? :pulpTRAVOLTA:
 
Kuna uzembe kwenye kuna ajali kama ajali, zimetokea ajali ngapi za ndege? Kwa nini 737 max zote zilikuwa grounded kwa sababu ya ajali mbili tu?
 
Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali.

Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea halijatokea unless treni hii iko operated kwa msaada wa waliotuuzia mpaka hapo baaadae.

Sina imani kabisa
Nafsi yenyewe unayo? Mimi naona umejaa mapepo tu
 
Kuna siku badala ya kuzimu itafeli break na kupitiliza kisha tutaunda time ya mchongo
 
Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali.

Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea halijatokea unless treni hii iko operated kwa msaada wa waliotuuzia mpaka hapo baaadae.

Sina imani kabisa
Sisi ndio tuna operate hiyo treni,ila wenyewe bado wapo wakiendelea kusimamia uendeshwaji mpk watakapojiridhisha kuwa tumekuwa wazoefu wa kutosha....
 
Back
Top Bottom