Naftar Benet: Tutaigawa Iran vipande elfu kwa miaka hamsini, jibu letu litakuwa kali na chungu

Naftar Benet: Tutaigawa Iran vipande elfu kwa miaka hamsini, jibu letu litakuwa kali na chungu

Waziri mkuu wa zamani wa Israel Naftari Bennet amesema kuwa zamani Biden alisema acheni kwanza sasa amesema pambaneni tuko nyuma yenu hivyo tunachagua pakuanzia viwanda vya uchimbaji mafuta,nyuklia ,kambi za jeshi au makazi ya viongozi, kutakuwa na machungu makali na vilio.

Waziri huyo anayeona kuwa Benjamin Netanyahu hawajibiki sana kulipiza kisasi anaona kuwa wataifuta Iran kwa vipande Elfu kumi na itachukua miaka hamsini kujijenga .

USSR
Kwani Biden na Netanyahu nani mzawa wa taifa teule
 
Tusubiri wachambuzi wa vita kutoka kasulu, kibondo, mbinga, newala, kondoa watasemaje,
 
Tusubiri wachambuzi wa vita kutoka kasulu, kibondo, mbinga, newala, kondoa watasemaje,
 
Yaani hii mushoga enajisifu kupigana kwa kusaidiwa na Marekani,,,,oohh tutaigawa Iran vipande Biden katuruhusu. Iran jana kafanya makosa alitakiwa ashushe madungu ya ICBM kama 20 hv ambayo moja kwa moja yanatua israeli na hivyo vikombora vya jana kama 2000 hivi kujamu hiyo Iron Dom ili kumake sure hapo Israeli kunabaki kama gaza🤗
 
Yeye na shoga yake Netanyahu A.K.A Isha Mashauzi wa Middle East hakuna kitu wanaweza kufanya mbele ya Iran sahivi kichapo ni cha moja kwa moja
Tatizo baadae watalia unaua wanawake na watoto
 
Iran wananchi wamekuwa na hofu kubwa sana. Tuombe Mungu maana moto mkali wa Satellite Laser Weapons nyingi utachoma kila kitu huko Iran..!! Yaani ni moto mkali sana toka angani, hadi naogopa, naona kama Ayatollaah kakosema kurusha missiles kulekea Israel, maana katangaza vita kamili..!! Naona hatari kubwa sana, Iran imefanya kosa kubwa kuanzisha vita rasmi na Israel, maana muda wote Israel ilikuwa inapigana wana mgambo wa Iran, sasa Iran kaingia kichwa kichwa mwenyewe, moto wake utakuwa historia
yaani mtu upo kibaigwa sidhani hata kama siri za jeshi la tz unazijua au huko mbali hata kikundu cha migambo wa hukijui au hata serikali ya mtaa haikujui leo ndiyo uje utuambie walichofanya Iran wamekosea yaani wewe unaona kuliko Iran? hii nchi tuna vijana wa hovyo ...Iran waliorusha wanajua nini wanafanya kama Iran anamsaka Israel aingie 18 utajuaje?
 
Ni mpumbavu pekee anayeshabikia vita. Wanao umia ni binadamu wa kawaida ambao hawana hatia, watoto, wazee, wanawake na vijana wadogo wasio jua lipi la kufanya kisa ubabe wa viongozi, maisha ya mwanadamu ni ya thamani sana, kushabikia mauaji ya binadamu ni upungufu wa akili.
 
Sasa ndio utaona kwa mara ya kwanza Felia 35 inashushwa bila kutunguliwa. Wait and see.
 
Waziri mkuu wa zamani wa Israel Naftari Bennet amesema kuwa zamani Biden alisema acheni kwanza sasa amesema pambaneni tuko nyuma yenu hivyo tunachagua pakuanzia viwanda vya uchimbaji mafuta,nyuklia ,kambi za jeshi au makazi ya viongozi, kutakuwa na machungu makali na vilio.

Waziri huyo anayeona kuwa Benjamin Netanyahu hawajibiki sana kulipiza kisasi anaona kuwa wataifuta Iran kwa vipande Elfu kumi na itachukua miaka hamsini kujijenga .

USSR
Siasa bhana 😆
 
Watanzania simba na yanga zimewaharibu.

Kila kitu wanashabikia kama simba na yanga.
Ni kweli kabisa. Ukiangalia innocent souls zinavyoangamia, watoto wanakuwa yatima, walemavu, desperate, etc, huwezi shabikia hivi vita.
 
.... naona kama Ayatollaah kakosema kurusha missiles kulekea Israel, maana katangaza vita kamili..!!
Bado haijawa vita kamili.
Vita kamili ni mpaka Israel na yeye apige Iran.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mkuuu tunakujaaa
Sema mimi simuamini sana Naftar Benet.

Kama Mwamba wa Ukoo wa Yesu Kristo aliye hai Benjamin Netanyahu
Netanyahu ni mzungu kutoka Poland. Hilo jina alibadilisha walipolowea middle east.
 
Back
Top Bottom