Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,988
- 30,183
No mtoto wa Kiiza BesigyeJenerali Muhoozi Kainerugaba hana jina la Kaguta Mseveni kwenye NIDA yake ya Uganda
No mtoto wa Kiiza BesigyeJenerali Muhoozi Kainerugaba hana jina la Kaguta Mseveni kwenye NIDA yake ya Uganda
Wapare wa wapi hawaKwa wapare ogopa kabisa huwa kama simba aliyejeruhiwa
Akiwepo mtoto wa nje ya ndoa mtu hathuhutu kumtaja msibani watamla nyama yeye aliyemtaja na aliyetajwa kama mtoto wa nje ya ndoa
Wapare wanashika namba mbili kupenda kesi baada ya wahaya
Hiyo kesi itaamuliwa na kifo tu
Hawezi tajwa kama ni mtoto wa mchepuko hata kama ni kweli
Vichwa tu au kuna kingine?Angalia vichwa vyao utapata majibu
Hata Mama Hadija hakutajwa kwenye msiba wa Mzee Mwinyi huwa sielewi kwa nini wanaficha je ni maagizo toka juu au maamuzi ya watangazajiTangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?
Sio lazima DNA mkuu, kuna ushahidi wa kimazingira pia na unakubalika.Wewe ndiye uliwapima DNA?
Unaanzaje kushikia bango fulani mtoto wa fulani kwenye familia za watu?
Raisi hutakiwa kuwa na first lady anayetambuliwa officiallyHata Mama Hadija hakutajwa kwenye msiba wa Mzee Mwinyi huwa sielewi kwa nini wanaficha je ni maagizo toka juu au maamuzi ya watangazaji
Kama sijakosea hata Goli la Mkono hakutajwa kwenye msiba wa baba yake
Raisi hutakiwa kuwa na first lady anayetambuliwa officially
Mimi nimekituliza, wewe ndiye mwenye kimbelembele kuingilia familia za watu.Kitulize
Ushahidi wa kimazingira utahakikishaje huyu ni mtoto wa huyu kwenye tuhuma kama hizi?Sio lazima DNA mkuu, kuna ushahidi wa kimazingira pia na unakubalika.
Kusoma hujui, hata picha huoni!Ili jibu sasa🤣🤣
Huku kwetu wete vichwa vyetu watu wa huku vinafanana sana japo sio ndugu
Kwa sababu ya mwanamke aliyejipendkz...Mtoto wa nje huyo,hatuwezi kuchafua CV ya mzee, mkristo mzuri, mume wa, mke mmoja, mzee wa kanisa wa muda mrefu,
Ni kwasababu ya head shape pillow mnazotumia au mnafanana tu?Ili jibu sasa🤣🤣
Huku kwetu wete vichwa vyetu watu wa huku vinafanana sana japo sio ndugu
Kairuki siyo Muhaya?Ni mtoto wa mchepuko kama Angella Kairuki alivyo mtoto wa mchepuko wa Dr. Salim Ahmed Salim
Hayati Mwinyi ana mtoto aitwaye Mama Hadija?Hata Mama Hadija hakutajwa kwenye msiba wa Mzee Mwinyi huwa sielewi kwa nini wanaficha je ni maagizo toka juu au maamuzi ya watangazaji
Kama sijakosea hata Goli la Mkono hakutajwa kwenye msiba wa baba yake
Mama Siti unamfahamu?Hayati Mwinyi ana mtoto aitwaye Mama Hadija?
Ndiyo! Ni mke wa hayati Mwinyi!!!Mama Siti unamfahamu?
SawaNdiyo! Ni mke wa hayati Mwinyi!!!
Ndiye mama Hadija?Sawa
Anaye na mwingine