Nafunguaje NGO na kupata hela za mradi?

Hili mm nilimaliza chuo nikawa nalo. Umeongea 0.1% tu ya knowledge inayotakiwa hapa. Project inaanzia suluhu kwemda kwenye tatizo. Sio kutoka tatizo kuangalia sabab na kulitafuta suluhu.

Kama una NGO Kuna Taasisi mbili lazima ukae nazo karibu.. moja kati ya taasis hizo ni poRALG hata kama miradi yako ni ya afya. Kama NGO yako ina misheni na afya ya jamii utakuwa chini ya MOH lakin utahitaji pia kufanya Kaz na poRALG.

Ukishasajili Taasisi, makaratas yote yapo na katiba ipo. Utahitaji kuwa na CV/ profile... Huko utaanisha unatumia mikakati Gani katika muhimili wako. Taasisi zote Huwa zinatumia Human centered design,na nyinginengingine kama financing approach.

Ukishamaweka hizo lazima ukae chini ujue nani ana misheni kama yako kwa graundi ili usipite nyuma yake. Hapo unajitofautisha na wengine kwanza. Ili uweze kuibgia kwenye ecology ya mikakati jumuishi ngaz ya kitaifa
 

Kwamba tunaanzia solution kwenda kwenye problem?umenipa kitu.
 
Okay dakitari, ukipata Muda shusha nondo humu
 
Kwamba tunaanzia solution kwenda kwenye problem?umenipa kitu.
Mradi ni imaginary certain initiative. Umeiona miradi ya Binti kigoda, mwanamke na maendeleo, Binti jasiri?. Imagine ukatili anaofanyia Binti mtaani unakoishi.... Imajin unasbabishwa na mpango wa jamii... Na nafas ya mwanamke!.

Suluhu ni kumfanya kuwa Jasiri ili akatae au adai haki regardless nani kamfanyia. Wengine wanaamin ukatili wa mwanamke unaletwa na nafas yake kiuvhumi Yani hana kazi, hata akipigwa hawez kuondoka. Wanampa mtaji na elimu ya ujasiriamali..

Very short ni kwamba projekt ni imagery plan, inaenda kutekekezwa ili itatue tatizo Fulani. So mnaanza na suluhu kwenda kulipiga tatizo. Na jamii ni composition yenye mgando wa vitu vingi, huwez kutibu afya kama afya ya jamii.. lazima uangalie uchumi, siasa au tamaduni za watu wa hapo zikoje. Nadhani Kuna haja ya kuandaa thread ya kuzubgunzia masuala na matatizo ya kijamii
 
Ut
Nataka kufanya festival kubwa,una utaalamu na Hilo nikutafutie hiyo laki mkuu?

Nataka kufanya festival kubwa,una utaalamu na Hilo nikutafutie hiyo laki mkuu?

Nataka kufanya festival kubwa,una utaalamu na Hilo nikutafutie hiyo laki mkuu?
Festival Uongo ntakudanganya ila kuanzisha taasisi ambayo wazungu na watu kutoka nje ndo watakuwa wageni wako daily ndo naweza kukufanyia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…