Nafurahi kuona mahabusu ana amani moyoni, waliomweka mahabusu wanateseka. Tuzidi kumtumaini Mungu atupe viongozi SIYO watawala

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Mhe. Freeman Mbowe yupo mahabusu kwa miezi kadhaa sasa, siyo kwa sababu ametenda kosa ya jinai bali kwa sababu amekataa kutumika kuwakandamiza watanzania. Kukaa kwake ndani naamini ni Mpango wa Mungu kutufunulia aina ya watawala tukio pamoja na namna dola inavyoshughulika na wanachi wasio na hatia. Kuwekwa kwake mahabusu kunatuonyesha aina ya Majaji na Mahakimu tulionao pamoja na kutufumbua macho Kwanini wezi wa rasilimali za nchi Wapo uraia lakini maskini Wapo magerezani. Tunapata kufumbuliwa macho kwanini nchi inauza rasilimali zetu kwa wageni kila kukicha, tunatambua ni kwa nini tunaamini maendeleo ya Tanzania yataletwa na wageni na si Watanzania.

Mbowe amevunjiwa vitega uchumi vyake ambavyo naamini viliwanufaisha zaidi waajiriwa wake kuliko yeye mwajiri. Wakati akivunjiwa vitega uchumi nchi imeingia Mikataba na wageni wengi kuja kuwekeza nchini na yeyote atakayewasumbua wawekezaji hao atakiona cha moto. Chuki baina ya watawala na watawaliwa imepelekea leo miradi yote ya watu wenye mawazo tofauti na serikali imekufa kwa mgongo wa uhujumu uchumi lakini miradi ya wageni inalindwa kwa nguvu zote. Watawala wamejaa chuki.

Kama watawala wamejaa chuki dhidi ya watawaliwa ni dhahiri kwamba Mbowe ana amani sana kuliko watawala. Amani ya Mbowe inatokana na ukweli kwamba Hana hatia moyoni mwake na ateseki kwa ajili yake anateseka kwa ajili ya watawaliwa.

Tumeona kilichotoka jana ambapo bila kutumwa na Mbowe mkutano uligubikwa na agenda ya Mbowe kwa maneno na context mbalimbali. Mbowe yupo mahabusu ila wapo watu wanajiona wao wanamthamini sana kuliko anavyojithamini mwenyewe. Kuna watu unawaona wanaumia sana kwanini Mbowe yupo ndani na hari ya wafuasi wa chama chake ipo juu. Kumbuka watu wenye roho mbaya wakiona unafanikiwa wanaumia zaidi. Ndicho kinachotokea leo.

Ukiangalia mitandaoni na hata kwenye hii post utabaini Wana CCM wanampigania sana Mbowe kuliko hata wanavyompigania kiongozi wao, si kwamba wanamaanisha hivyo bali wamebaini Mungu wa Mbowe ni Mungu wa wanyonge.

Haingii akilini kuona watawala wanataka kumlaumu mahabusu kwanini ajawapigia magoti. Mbowe ameamua kwa dhati kufungwa ili watakaomfunga waende Mbinguni ,ajataka wamfanyie upendeleo waende kuzimu. Amewaruhusu watumie madaraka yao wapendavyo huku akijua siku za mwanadamu kuishi zinapangwa na Mungu
 
ni ishara ya anguko la ccm soon
 
Hata waliompiga risasi tundu lissu watu walimlilia Mungu akajibu kwa wakati,hata ili la MBOWE watu wanamlilia Mungu majibu yanakuja kwa wakati onyo muombeni Mungu msamaha anaenda kufanya jambo sauti ya watu ni sauti ya Mungu!!
 
Tunazidi kumwomva Mungu, amjalie afya njema njeka zaidi Mbowe aliyeko mazingira duni kuwazidi walalao ikulu kwenye kila aina ya starehe (lakini wasizifurahie starehe hizo), amjalie amani ya moyoni Mbowe ambaye uhuru wake unaishia kwenye milango ya gereza kuwazidi ambao uhuru wao mipaka yake hata dreamliner haiwezi kumaliza, amjalie hekima Mbowe aliyemfungwa wa mwili kuzidi maradufu wenye uhuru wa miili lakini walio wafungwa wa mioyo na akili.

Mwisho wa yote, tunamwomba Mungu amjalie Mbowe neema ya kushuhudia anguko la watesi na wafuasi hawa waaminifu wa shetani wanaotumia madaraka kuwatesa watu badala ya kuwasaidia.
 
Watesi wangekuwa na akili wangewaachia huru tu.

Kwa kuwashikilia dhamana waliyojibebesha ya kuhakikisha usalama wao haina mfano.

Tuombeane uzima.
 
Kwa mambo aliyopitia mbowe tangu 2016 kama mtu mnyonge myonge lazima uteme ndoano
Mbowe ana moyo mkuu ambao wengi hatuna, Mbowe ana msimamo ambao wengi hatuna, Mbowe ana uvumilivu ambao wengine hatuna, Mbowe ana mengi ambayo, ukitafakari, utaona upekee wa Mbowe.

Watanzania wengi wamenufaika kutokana na uwepo wa Mbowe, na wengi hata hawajui. Bila ya Mbowe, sijui watawala hawa wauaji, watesaji, watekaji, wevi, wala rushwa, wabambikiaji kesi, wagandamizaji wa haki, demokrasia na uhuru wa maoni, sijui wangekuwa wamekwishatufanya nini. Bado madhira yapo lakini nina hakika yangekuwa maradufu ya hapa. Uwepo wa Mbowe, na majasiri wanaomwunga mkono kwa karibu, ndiko kunawafanya hawa viongozi dhulumati, angalao kutafakari mara mbili kabla ya kitenda.
 
CCM na Genge la Polis na Mahakama mbingu wataiona kwenye Cartoon

Kuna anayejinasibu ya kuwa hataki kwenda kuulizwa na muumba wake kwanini hakutenda hili au lile.

Pana watu tutanangana tu hadi huko huko kwa Mola. Isijitokezee nafasi wallahi.
 
wanauza raslimali kwa maslahi yao wanajihesabia haki bt wanaotetea haki wanasingiziwa kesi kwa kutowasujudia watawala, soon mungu anajibu kama alivyojibu kwa jiwe.
 
Mleta mada ni kweli, 'waliobumisha' hii kesi ndio wanapata shida kuliko yule 'walimbambikia' kesi!
Mwenyezi Mungu ni wa ajabu sana, "nao waliokunea nitawalisha nyama yao wenyewe, watalewa kwa kuinywa damu yao wenyewe kama mvinyo mpya na wote wenye mwili watajua ya kuwa mimi ni Bwana ni mwokozi wako na mkombozi wako n mkombozi wako" (Isaya 49: 26)
Hongera sana Freeman Aikael Mbowe kwa kumtegemea Mungu peke yake.
 
Tunazidi kumwomva Mungu, amjalie afya njema njeka zaidi Mbowe aliyeko mazingira duni kuwazidi walalao ikulu kwenye kila aina ya starehe (lakini wasizifurahie starehe hizo), amjalie amani ya moyoni Mbowe ambaye uhuru wake unaishia kwenye milango ya gereza kuwazidi ambao uhuru wao mipaka yake hata dreamliner haiwezi kumaliza, amjalie hekima Mbowe aliyemfungwa wa mwili kuzidi maradufu wenye uhuru wa miili lakini walio wafungwa wa mioyo na akili.

Mwisho wa yote, tunamwomba Mungu amjalie Mbowe neema ya kushuhudia anguko la watesi na wafuasi hawa waaminifu wa shetani wanaotumia madaraka kuwatesa watu badala ya kuwasaidia.
Aaaaaaaaaamin.
Dua hii ingekuwa kwenye mabango yanayobebwa kila siku pale mahakamani, na kila penye ziara za watawala na wapambe wao.
 
wanauza raslimali kwa maslahi yao wanajihesabia haki bt wanaotetea haki wanasingiziwa kesi kwa kutowasujudia watawala, soon mungu anajibu kama alivyojibu kwa jiwe.
Kwa huyu Mungu anayetujua kwa matendo yetu hata tuyafanyayo sirini au faragha, hadanganyiki na yanayoendelea sasa nchini, atatoa majibu tu, huenda sivyo tunavyotegemea sisi bali kwa namna atakayoiona inafaa mwenyewe.

- Kumbukeni kwa mwendazake kilichotokea sicho waliokuwa wanateswa naye walikitegemea.

Naishia hapo.
 
Hata waliompiga risasi tundu lissu watu walimlilia Mungu akajibu kwa wakati,hata ili la MBOWE watu wanamlilia Mungu majibu yanakuja kwa wakati onyo muombeni Mungu msamaha anaenda kufanya jambo sauti ya watu ni sauti ya Mungu!!

Tusisahau kuna waliomlilia Mungu baada ya kipenzi Chao Chacha Wangwe Kufariki kwa mazingira tatanishi huku Mwenyekiti wake wa chama aki-cheers glass ya wine bondeni kwa madiba
 
Mhe. Freeman Mbowe yupo mahabusu kwa miezi kadhaa sasa, siyo kwa sababu ametenda kosa ya jinai bali kwa sababu amekataa kutumika kuwakandamiza watanzania. Kukaa kwake ndani naamini ni Mpango wa Mungu kutufunulia aina ya watawala tukio pamoja na namna dola inavyoshughulika na wanachi wasio na hatia. Kuwekwa kwake mahabusu kunatuonyesha aina ya Majaji na Mahakimu tulionao pamoja na kutufumbua macho Kwanini wezi wa rasilimali za nchi Wapo uraia lakini maskini Wapo magerezani. Tunapata kufumbuliwa macho kwanini nchi inauza rasilimali zetu kwa wageni kila kukicha, tunatambua ni kwa nini tunaamini maendeleo ya Tanzania yataletwa na wageni na si Watanzania.

Mbowe amevunjiwa vitega uchumi vyake ambavyo naamini viliwanufaisha zaidi waajiriwa wake kuliko yeye mwajiri. Wakati akivunjiwa vitega uchumi nchi imeingia Mikataba na wageni wengi kuja kuwekeza nchini na yeyote atakayewasumbua wawekezaji hao atakiona cha moto. Chuki baina ya watawala na watawaliwa imepelekea leo miradi yote ya watu wenye mawazo tofauti na serikali imekufa kwa mgongo wa uhujumu uchumi lakini miradi ya wageni inalindwa kwa nguvu zote. Watawala wamejaa chuki.

Kama watawala wamejaa chuki dhidi ya watawaliwa ni dhahiri kwamba Mbowe ana amani sana kuliko watawala. Amani ya Mbowe inatokana na ukweli kwamba Hana hatia moyoni mwake na ateseki kwa ajili yake anateseka kwa ajili ya watawaliwa.

Tumeona kilichotoka jana ambapo bila kutumwa na Mbowe mkutano uligubikwa na agenda ya Mbowe kwa maneno na context mbalimbali. Mbowe yupo mahabusu ila wapo watu wanajiona wao wanamthamini sana kuliko anavyojithamini mwenyewe. Kuna watu unawaona wanaumia sana kwanini Mbowe yupo ndani na hari ya wafuasi wa chama chake ipo juu. Kumbuka watu wenye roho mbaya wakiona unafanikiwa wanaumia zaidi. Ndicho kinachotokea leo.

Ukiangalia mitandaoni na hata kwenye hii post utabaini Wana CCM wanampigania sana Mbowe kuliko hata wanavyompigania kiongozi wao, si kwamba wanamaanisha hivyo bali wamebaini Mungu wa Mbowe ni Mungu wa wanyonge.

Haingii akilini kuona watawala wanataka kumlaumu mahabusu kwanini ajawapigia magoti. Mbowe ameamua kwa dhati kufungwa ili watakaomfunga waende Mbinguni ,ajataka wamfanyie upendeleo waende kuzimu. Amewaruhusu watumie madaraka yao wapendavyo huku akijua siku za mwanadamu kuishi zinapangwa na Mungu
Rumande hakuna amani 💯% iliyopo uraiani bwashee.....

Ustawi wa taifa ni bora maradufu kuliko siasa koko......

Utulivu na amani ya taifa kwanza kabla ya nafsi zetu bwasheee......

#Siempre JMT
#Kazi Inaendelea Kwa Kasi & Weledi Zaidi 💪
 
Back
Top Bottom