Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Hapa ni matarajio yangu kuwa kutoka sasa chawa wote wopo full swing na marupurupu toshelezi ili kugeuza uelekeo wa kimbunga,pamoja na yote hayo hakikisheni hamja sahau ubongo nyumbani kabla ya kupanda jukwaani.!Kwanza kabisa nashukuru Mwenyewezi Mungu kwa kujalia hali ya usalama na kuepusha jambo baya lilipangwa dhidi ya nchi yetu 09 December.
Pia natoa pongezi kwa Makamanda wa kuhubiri amani Jf stakehigh Victoire GENTAMYCINE Robert Heriel Mtibeli Ertugrul Bey iamwangdamin na wengineo hapa Jf na kwengineko.
Watu wanashindwa kuelewa wanadhani wote tunaohubiri Amani ni machawa na tunapendezwa na yote yanayoendelea hilo sio kweli bali hatutaki njia mbaya za fujo , machafuko na ghasia ambazo zinakwenda kuathiri wote haswa raia wa chini bila mafanikio yeyote.
Nawasihi wapenda Amani wote , tuwaelekeze wenzentu kwa njia nzuri bila kuwakejeli wala kuwatusi na tusichoke katika harakati hizi , tukikaa kimya kama mwanzo wao watatawala katika kueneza mambo ambayo yanayopelekea uvunjifu wa amani na machafuko.
Nimefurahi kuona sasa karibia mitandao yote watu wanajitokeza kuwakataa wanaharakati uchwara na kukataa njia zao mbaya za kudai haki. Wabongo sasa wameamka na kustuka.
Cheki hapo wakimjibu Maria Sarungi Leo katika mtandao wa X.View attachment 3513821
Mwengine.
View attachment 3513822
Kingene kinachofurahisha zaidi Raia hawapendi kabisa hali ya lockdown na fujo kiasi ambacho hawapendi kutafuta riziki zao za kila siku kwa ajili Yao na familia zao na wengi hawataki hizi hali zijirudie.
Maandamano ni vurugu ??Kwanza kabisa nashukuru Mwenyewezi Mungu kwa kujalia hali ya usalama na kuepusha jambo baya lilipangwa dhidi ya nchi yetu 09 December.
Pia natoa pongezi kwa Makamanda wa kuhubiri amani Jf stakehigh Victoire GENTAMYCINE Robert Heriel Mtibeli Ertugrul Bey iamwangdamin na wengineo hapa Jf na kwengineko.
Watu wanashindwa kuelewa wanadhani wote tunaohubiri Amani ni machawa na tunapendezwa na yote yanayoendelea hilo sio kweli bali hatutaki njia mbaya za fujo , machafuko na ghasia ambazo zinakwenda kuathiri wote haswa raia wa chini bila mafanikio yeyote.
Nawasihi wapenda Amani wote , tuwaelekeze wenzentu kwa njia nzuri bila kuwakejeli wala kuwatusi na tusichoke katika harakati hizi , tukikaa kimya kama mwanzo wao watatawala katika kueneza mambo ambayo yanayopelekea uvunjifu wa amani na machafuko.
Nimefurahi kuona sasa karibia mitandao yote watu wanajitokeza kuwakataa wanaharakati uchwara na kukataa njia zao mbaya za kudai haki. Wabongo sasa wameamka na kustuka.
Cheki hapo wakimjibu Maria Sarungi Leo katika mtandao wa X.View attachment 3513821
Mwengine.
View attachment 3513822
Kingene kinachofurahisha zaidi Raia hawapendi kabisa hali ya lockdown na fujo kiasi ambacho hawapendi kutafuta riziki zao za kila siku kwa ajili Yao na familia zao na wengi hawataki hizi hali zijirudie.
Ni machawa tu ndo wanounga mkono wauwaji waliouwa kisha wanakuja kutakatisha madaraka kupitia machawa wao
Utekaji,na unyanyasaji nao uwe mwisho.Natoa pongezi kwa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama kwa kuhakikisha utulivu na amani inarejea nchini.
Hawa wachochezi wengi ni diasporas, na wengine watakuwa wamejichimbia hapo kenya, natoa rai kwa vyombo vya ulinzi na usalama wawasake kimyakimya mpk waishe.
AMANI YA NCHI YETU IWE KIPAUMBELE.
kwa wanaotaka kuharibu heshima ya amani, msako uendeleeUtekaji,na unyanyasaji nao uwe mwisho.
Kilichofanyika October 29 ni maandamano ya Amani ?Maandamano ni vurugu ??
NChi inaongozwa Kwa mujibu wa katiba na Sheria sio mihemko ya viongozi.
Maandamo ni kosa kikatiba au kisheria ??
kifungu cha 30 cha katiba kinasemajeMaandamano ni vurugu ??
NChi inaongozwa Kwa mujibu wa katiba na Sheria sio mihemko ya viongozi.
Maandamo ni kosa kikatiba au kisheria ??
Vijana hawa waliotekwa na mitandao walikunasua kutoka mikono ya watekaji ama mapema hii umesahau!