Nafurahi Watanzania wameanza kuamka JF na mitandao mengine katika kuwakataa wanaharakati na kuhubiri Amani

Mafanikio makubwa kabisa ya huu utawala unaotawala bila ridhaa ya wananchi ni kutengeneza machawa wa kutosha.
Mimi siipendi CCM na Serikali ila siwezi Kukubali uhuni wa maandamano kwa misingi ya kutoa utawala
 
Inshu kubwa ni wizi wa kura unaofanywa na ccm,,utekaji,,ufisadi wa viongozi kuigeuza nchi kuwa ya kikundi kidogo,,kwa hiyo wewe chawa pro usijifariji hii nchi lazima tuikomboe.
 
Mimi siipendi CCM na Serikali ila siwezi Kukubali uhuni wa maandamano kwa misingi ya kutoa utawala
Bila maandamano hawa ccm hawatoki madarakani yaan ungekuwa unashiriki kwenye zoezi la uchaguzi usingesema haya
 
Kwanza kabisa nashukuru Mwenyewezi Mungu kwa kujalia hali ya usalama na kuepusha jambo baya lilipangwa dhidi ya nchi yetu 09 December.

Pia natoa pongezi kwa Makamanda wa kuhubiri amani Jf stakehigh Victoire GENTAMYCINE Robert Heriel Mtibeli Ertugrul Bey iamwangdamin na wengineo hapa Jf na kwengineko.

Watu wanashindwa kuelewa wanadhani wote tunaohubiri Amani ni machawa na tunapendezwa na yote yanayoendelea hilo sio kweli bali hatutaki njia mbaya za fujo , machafuko na ghasia ambazo zinakwenda kuathiri wote haswa raia wa chini bila mafanikio yeyote.

Nawasihi wapenda Amani wote , tuwaelekeze wenzentu kwa njia nzuri bila kuwakejeli wala kuwatusi na tusichoke katika harakati hizi , tukikaa kimya kama mwanzo wao watatawala katika kueneza mambo ambayo yanayopelekea uvunjifu wa amani na machafuko.

Nimefurahi kuona sasa karibia mitandao yote watu wanajitokeza kuwakataa wanaharakati uchwara na kukataa njia zao mbaya za kudai haki. Wabongo sasa wameamka na kustuka.

Cheki hapo wakimjibu Maria Sarungi Leo katika mtandao wa X.View attachment 3513821

Mwengine.

View attachment 3513822

Kingene kinachofurahisha zaidi Raia hawapendi kabisa hali ya lockdown na fujo kiasi ambacho hawapendi kutafuta riziki zao za kila siku kwa ajili Yao na familia zao na wengi hawataki hizi hali zijirudie.

Tanzania bwana
Yan ukihoji why Rais ajawahi kuja kwenye mkoa wako inakuwa hutaki Amani haha

Ukidai maji then unakuwa unataka kupindua serikali

Sometimes bora kuvunja amani ili upate haki, like ambavyo watu wa kimara walifanya

Walivunja aman kwa kuchoma mabasi ya mwendokasi na wakapata mabasi mapya na kero yao ikaisha
 
Huyu invizibo mafia ni karisimatik fella gemu chenja & intataina.
Ringo Sabufa utajichanganya🤣🤣🤣 bas mods wamemkosea Kuna sehemu wame merge na id ya Ghayo de mafwele🤣🤣🤣 ila hata Salam yake hujaiona?
 
Ishu sio wanaharakati, ishu ni ubinywaji wa vyama vya upinzani katika kufanya siasa zao kwa uhuru na haki. Kama kungekuwa na uhuru wa na haki katika kufanya siasa na wananchi wanachagua viongozi wanaowataka hao wanaharakati wangetoka wapi? Wangekuwa ni wanaharakati wa mambo mengine kama mazingira, wanyama, wanawake na watoto. Wekeni mfumo sawa wa kufanya siasa za vyama muone kama mtaumizwa vichwa na wanaharakati. Wanaharakati watazidi kuwa na nguvu za ushawishi kwa kuwa hakuna vyama vya upinzani dhidi ya chama tawala, wamejaza ombwe/nafasi ya vyama vya upinzani. Mmetengeneza wenyewe jinamizi bila kujua litawasumbua mpaka mshike adabu kwa wananchi mtajua wanataka nini
wengine sio wanaharakati ni wameamua kutumia fursa kama ulivyosema kujitafutia fedha,,,kuna maandamano yalifanyika USA ya diaspora lakini Mange hakuwepo, na mengine yamefanyika jana Nairobi na Maria hakuwepo.
 
Kwanza kabisa nashukuru Mwenyewezi Mungu kwa kujalia hali ya usalama na kuepusha jambo baya lilipangwa dhidi ya nchi yetu 09 December.

Pia natoa pongezi kwa Makamanda wa kuhubiri amani Jf stakehigh Victoire GENTAMYCINE Robert Heriel Mtibeli Ertugrul Bey iamwangdamin na wengineo hapa Jf na kwengineko.

Watu wanashindwa kuelewa wanadhani wote tunaohubiri Amani ni machawa na tunapendezwa na yote yanayoendelea hilo sio kweli bali hatutaki njia mbaya za fujo , machafuko na ghasia ambazo zinakwenda kuathiri wote haswa raia wa chini bila mafanikio yeyote.

Nawasihi wapenda Amani wote , tuwaelekeze wenzentu kwa njia nzuri bila kuwakejeli wala kuwatusi na tusichoke katika harakati hizi , tukikaa kimya kama mwanzo wao watatawala katika kueneza mambo ambayo yanayopelekea uvunjifu wa amani na machafuko.

Nimefurahi kuona sasa karibia mitandao yote watu wanajitokeza kuwakataa wanaharakati uchwara na kukataa njia zao mbaya za kudai haki. Wabongo sasa wameamka na kustuka.

Cheki hapo wakimjibu Maria Sarungi Leo katika mtandao wa X.View attachment 3513821

Mwengine.

View attachment 3513822

Kingene kinachofurahisha zaidi Raia hawapendi kabisa hali ya lockdown na fujo kiasi ambacho hawapendi kutafuta riziki zao za kila siku kwa ajili Yao na familia zao na wengi hawataki hizi hali zijirudie.
Jifariji tu
Hakuna kitu km hiki watu wana maumivu
Uzuri humu mitandaoni wote tunaona huu ni uongo
Vice versa is true
 
Mpumba, mwehu, mpuuzi na asie na UTU wakujali wengi e na vizazi vijavyo ndio anaweza kuwa na mtazamo kama wako na WA hao uliowaTAG
 
Kwanza kabisa nashukuru Mwenyewezi Mungu kwa kujalia hali ya usalama na kuepusha jambo baya lilipangwa dhidi ya nchi yetu 09 December.

Pia natoa pongezi kwa Makamanda wa kuhubiri amani Jf stakehigh Victoire GENTAMYCINE Robert Heriel Mtibeli Ertugrul Bey iamwangdamin na wengineo hapa Jf na kwengineko.

Watu wanashindwa kuelewa wanadhani wote tunaohubiri Amani ni machawa na tunapendezwa na yote yanayoendelea hilo sio kweli bali hatutaki njia mbaya za fujo , machafuko na ghasia ambazo zinakwenda kuathiri wote haswa raia wa chini bila mafanikio yeyote.

Nawasihi wapenda Amani wote , tuwaelekeze wenzentu kwa njia nzuri bila kuwakejeli wala kuwatusi na tusichoke katika harakati hizi , tukikaa kimya kama mwanzo wao watatawala katika kueneza mambo ambayo yanayopelekea uvunjifu wa amani na machafuko.

Nimefurahi kuona sasa karibia mitandao yote watu wanajitokeza kuwakataa wanaharakati uchwara na kukataa njia zao mbaya za kudai haki. Wabongo sasa wameamka na kustuka.

Cheki hapo wakimjibu Maria Sarungi Leo katika mtandao wa X.View attachment 3513821

Mwengine.

View attachment 3513822

Kingene kinachofurahisha zaidi Raia hawapendi kabisa hali ya lockdown na fujo kiasi ambacho hawapendi kutafuta riziki zao za kila siku kwa ajili Yao na familia zao na wengi hawataki hizi hali zijirudie.
Ni machawa na vibaka wa uvccm tu ndiyo wanashabikia uonevu unaofanywa na serikali haramu na ya kidhalimu.
 
Back
Top Bottom