amna mwanajeshi anaweza kuondoa uhai wa mtu asie na hatia kwa kukusudia, kuna ambao bahati mbaya katika vita pale lakini wengi walikua na nia mbaya hivo lazima msako uendeleeNa upande wa pili wa Tsh pia ni wa muhimu kuutazama.
waTanzania wasio na hatia baadhi waliuwawa wakati wa operation ya kizuia machafuko ya oct, sasa ikibaki kama colateral damage, kuna siku tu uchungu unaovumiliwa na wahanga utalazimika kuwatoka halafu katika kuudhibiti watauwawa tena wengine, circle itaendelea.
Lazima wapatikane wa kuwajibishwa kwa mauaji ya wasio na hatia, wale ambao hawakuwa wakiiba, wakichoma wala kuandamana.
Lisifunikwe kombe kwa kuhitimisha kuwa ile nguvu iliyotumika ni sahihi, watekelezaji wa lile tukio ni binadamu, lazima kuna waliofanya makosa nje ya weledi wa askari, makosa ambayo hayana budi kulipiwa, watafutwe waliokosa weledi katika ile operation na kupelekea vifo visivyo na hatia washtakiwe mahakamani kwa mauaji.
Hii itapunguza idadi ya wenye chuki na serikali sababu ya oct 29, idadi ya raia wenye hasira inaweza kupunguzwa kwa uwajibikaji.
Ni vigezo gani vinaepusha uwajibikaji kwa makosa yaliyoondoa maisha ya raia mwema kwa bahati mbaya?amna mwanajeshi anaweza kuondoa uhai wa mtu asie na hatia kwa kukusudia, kuna ambao bahati mbaya katika vita pale lakini wengi walikua na nia mbaya hivo lazima msako uendelee
Kwa hiyo njia nyingine hiyo ni ipi.Maria anawaambia watu waelekee Ikulu,?eti wasiogope seriousily...Yeye hata kuja kumzika Baba yake hakuja kisa anaogopa hao hao Kina Samia.Vijana msidanganyike yeye mwenyewe amekimbia nchi kisa Samia.Leo nyie anawaambia muandamane kwenda Ikulu. Sipendi serikali ya CCM ya Samia.Ila tusijitoe ubongo .Hawa tutawashinda tu.Ila si kwa kujitoa ubongo. Wana vyombo vya ulinzi vote.
Nyie wote ni machawa wahed maana hamjawahi kusikika mkikemea ufisadi, wizi wa uchaguzi, utekaji, ufiraji, mauaji - ambazo ndizo baadhi ya kero kubwa za wananchiwanadhani wote tunaohubiri Amani ni machawa na tunapendezwa na yote yanayoendelea hilo sio kweli bali hatutaki njia mbaya za fujo , machafuko na ghasia ambazo zinakwenda kuathiri wote haswa raia wa chini bila mafanikio yeyote.
VIVA TANZANIA , VIVA AMANI , TANZANIA NI KISIWA CHA AMANI , KISIMA CHA UPENDO . TUDUMISHE MILA NA DESTURI ZETU , WAJINGA WACHACHE WANATAKA KUTUTETEMESHA NA KUVUNJA UMOJA WETU. SAY NO TO WANAHARAKATI.Kwanza kabisa nashukuru Mwenyewezi Mungu kwa kujalia hali ya usalama na kuepusha jambo baya lilipangwa dhidi ya nchi yetu 09 December.
Pia natoa pongezi kwa Makamanda wa kuhubiri amani Jf stakehigh Victoire GENTAMYCINE Robert Heriel Mtibeli Ertugrul Bey iamwangdamin na wengineo hapa Jf na kwengineko.
Watu wanashindwa kuelewa wanadhani wote tunaohubiri Amani ni machawa na tunapendezwa na yote yanayoendelea hilo sio kweli bali hatutaki njia mbaya za fujo , machafuko na ghasia ambazo zinakwenda kuathiri wote haswa raia wa chini bila mafanikio yeyote.
Nawasihi wapenda Amani wote , tuwaelekeze wenzentu kwa njia nzuri bila kuwakejeli wala kuwatusi na tusichoke katika harakati hizi , tukikaa kimya kama mwanzo wao watatawala katika kueneza mambo ambayo yanayopelekea uvunjifu wa amani na machafuko.
Nimefurahi kuona sasa karibia mitandao yote watu wanajitokeza kuwakataa wanaharakati uchwara na kukataa njia zao mbaya za kudai haki. Wabongo sasa wameamka na kustuka.
Cheki hapo wakimjibu Maria Sarungi Leo katika mtandao wa X.View attachment 3513821
Mwengine.
View attachment 3513822
Kingene kinachofurahisha zaidi Raia hawapendi kabisa hali ya lockdown na fujo kiasi ambacho hawapendi kutafuta riziki zao za kila siku kwa ajili Yao na familia zao na wengi hawataki hizi hali zijirudie.
Kwa bahati mbaya hamuwezi kufanikiwa kwenye hayo mahubiri ya amani ni kama kutwanga maji kwenye kinu.Ndugu yangu Invisible Mafia nashukuru sana kwa kutambua nia yetu dhabiti ya kuifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha Amani
Pongezi kwako kuwa sehemu ya team hii muhimu sana kupinga fujo na uvunjifu wa amani tupo pamoja kwenye harakati muhimu kwa amani ya nchi yetu
AMANI BILA HAKI NI UTUMWA ...Hivyo ukimsikia mtu sna hubiri amani bila haki jua mtu huyo ajenda yake ni kukugeuza mtumwaKwanza kabisa nashukuru Mwenyewezi Mungu kwa kujalia hali ya usalama na kuepusha jambo baya lilipangwa dhidi ya nchi yetu 09 December.
Pia natoa pongezi kwa Makamanda wa kuhubiri amani Jf stakehigh Victoire GENTAMYCINE Robert Heriel Mtibeli Ertugrul Bey iamwangdamin na wengineo hapa Jf na kwengineko.
Watu wanashindwa kuelewa wanadhani wote tunaohubiri Amani ni machawa na tunapendezwa na yote yanayoendelea hilo sio kweli bali hatutaki njia mbaya za fujo , machafuko na ghasia ambazo zinakwenda kuathiri wote haswa raia wa chini bila mafanikio yeyote.
Nawasihi wapenda Amani wote , tuwaelekeze wenzentu kwa njia nzuri bila kuwakejeli wala kuwatusi na tusichoke katika harakati hizi , tukikaa kimya kama mwanzo wao watatawala katika kueneza mambo ambayo yanayopelekea uvunjifu wa amani na machafuko.
Nimefurahi kuona sasa karibia mitandao yote watu wanajitokeza kuwakataa wanaharakati uchwara na kukataa njia zao mbaya za kudai haki. Wabongo sasa wameamka na kustuka.
Cheki hapo wakimjibu Maria Sarungi Leo katika mtandao wa X.View attachment 3513821
Mwengine.
View attachment 3513822
Kingene kinachofurahisha zaidi Raia hawapendi kabisa hali ya lockdown na fujo kiasi ambacho hawapendi kutafuta riziki zao za kila siku kwa ajili Yao na familia zao na wengi hawataki hizi hali zijirudie.
Hayakuwa Amani tokea starting point.Yalikuwa ya amani yakavurugwa na Risasi na mabomu ya polisi
Jamaa unamkubali sana PopomaPopoma umekimbia ID yako, Sasa unatumia hii ili tusigundis mashudu yako
Mbona wewe haujatekwa Wala kuuwawa ?Ujinga wa kulinda amani huku watu wanatekwa na kuuwawa
Vyomba vya ulinzi wameupiga mwingi mno Kongole kwaoNatoa pongezi kwa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama kwa kuhakikisha utulivu na amani inarejea nchini.
Hawa wachochezi wengi ni diasporas, na wengine watakuwa wamejichimbia hapo kenya, natoa rai kwa vyombo vya ulinzi na usalama wawasake kimyakimya mpk waishe.
AMANI YA NCHI YETU IWE KIPAUMBELE.
Pamoja sana mkuu , I'm the Mafia Boss with High IQ🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sana kukuta kumbe hii ni Id yako.
Endelea kupanua wigo. Mods wameisha kupanulisha wigo Mpana ghayo
We ndo popomaJamaa unamkubali sana Popoma