Nafurahi Watanzania wameanza kuamka JF na mitandao mengine katika kuwakataa wanaharakati na kuhubiri Amani

Mafanikio makubwa kabisa ya huu utawala unaotawala bila ridhaa ya wananchi ni kutengeneza machawa wa kutosha.
Mimi siipendi CCM na Serikali ila siwezi Kukubali uhuni wa maandamano kwa misingi ya kutoa utawala
 
Inshu kubwa ni wizi wa kura unaofanywa na ccm,,utekaji,,ufisadi wa viongozi kuigeuza nchi kuwa ya kikundi kidogo,,kwa hiyo wewe chawa pro usijifariji hii nchi lazima tuikomboe.
 
Mimi siipendi CCM na Serikali ila siwezi Kukubali uhuni wa maandamano kwa misingi ya kutoa utawala
Bila maandamano hawa ccm hawatoki madarakani yaan ungekuwa unashiriki kwenye zoezi la uchaguzi usingesema haya
 

Tanzania bwana
Yan ukihoji why Rais ajawahi kuja kwenye mkoa wako inakuwa hutaki Amani haha

Ukidai maji then unakuwa unataka kupindua serikali

Sometimes bora kuvunja amani ili upate haki, like ambavyo watu wa kimara walifanya

Walivunja aman kwa kuchoma mabasi ya mwendokasi na wakapata mabasi mapya na kero yao ikaisha
 
Huyu invizibo mafia ni karisimatik fella gemu chenja & intataina.
Ringo Sabufa utajichanganya🤣🤣🤣 bas mods wamemkosea Kuna sehemu wame merge na id ya Ghayo de mafwele🤣🤣🤣 ila hata Salam yake hujaiona?
 
wengine sio wanaharakati ni wameamua kutumia fursa kama ulivyosema kujitafutia fedha,,,kuna maandamano yalifanyika USA ya diaspora lakini Mange hakuwepo, na mengine yamefanyika jana Nairobi na Maria hakuwepo.
 
Jifariji tu
Hakuna kitu km hiki watu wana maumivu
Uzuri humu mitandaoni wote tunaona huu ni uongo
Vice versa is true
 
Mpumba, mwehu, mpuuzi na asie na UTU wakujali wengi e na vizazi vijavyo ndio anaweza kuwa na mtazamo kama wako na WA hao uliowaTAG
 
Ni machawa na vibaka wa uvccm tu ndiyo wanashabikia uonevu unaofanywa na serikali haramu na ya kidhalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…