Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Una bikra? Maana wanaume tuna kikao chetu hatuoi malaya
 
MAMBO YA UCHUMBA BANA. Demu wangu ananiambia eti!! Ili unioe kwetu wanataka mahari ya ng'ombe wawili!!! Nikamwambia kawambie wapunguze basi.. wakifika kwenye njiwa ndio nakuoa!!!!
 
Insh Allah, Njoo kwangu na mm nitakusubir umalze chuo UKHUTY
 
Yaan unakubali masharti yooote baada ya ndoa kwenye tendo unakuta zilipendwa hahahaaaaaaaaaaa , umeuziwa gari used bila hata kuijabu pambafu

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Upo sawa kabisa maana baadhi ya wanaume wengi wakisha kukuonja tu wanapita mbio.mie ni mwanaume nimefanya tafiti isiyo lasimi kwa Zaid ya wana wake 200 wamekubwa na kadhaa hiyo, mwanaume anakuahid atakuoa usiwe na wasiwasi ila akisha pata tu haja zake,mwisho wa siku anaishia mitini.kuwa na msimamo huo ukikubali kuonjwa utaachwa kwenye mataa.
 
Asa
Asante🙏 nmepata
 
Unajua kukata viuno? Kati ya 1 mpaka 10 unajipa namba ngapi ya ujuzi wa kukata viuno? 😜 1 ujuzi mdogo na 10 wewe ni GWIJI.
 
Jaribu kupitapita huko playstore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…