Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Si kweli, mwanamke akifika 35 kusema ndo anakua yuko hot? Kwa taarifa yako mwanamke anakuwa hot 18 mpaka around 30 tu. Huko kwingine hata hamu ya mwanaume hana.

Mwanaume 50 anapiga game safi kabisa.
Tembea uyaone, usiangalie ndani ya box, nafahamu kuna mtu na mtu
 
Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.

Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini: Muislamu .
Muonekano: Mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.

SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.

Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate PM.

ILI UMBAMBIKIZIE HEE HEE JINGA LAO
 
Mwingine anakujaga kufanya usafi geto,,one day namwambie tupige showtime,😆😆
Ananiambia haiwezekani bila kuoana,,ni dhambi.
Ila ningekuwa dini yake labda angenifikilia,,
Hazijapita siku tatu ananipigia simu anahitaji 20,000
Hahahha,🤣

Asubiri ndoa!
 
Mwingine anakujaga kufanya usafi geto,,one day namwambie tupige showtime,[emoji38][emoji38]
Ananiambia haiwezekani bila kuoana,,ni dhambi.
Ila ningekuwa dini yake labda angenifikilia,,
Hazijapita siku tatu ananipigia simu anahitaji 20,000
Na ww mjibu tu , siwezi kukupa hiyo 20 , Ila ungekua dini yangu ningefikiria kukupa .

Huwa wanawaza ujinga tuu
 
Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.

Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini: Muislamu .
Muonekano: Mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.

SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.

Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate PM.
.
Mahusiano bila sex ni kitu kigumu kwa mwanaume wa kawaida isipokuwa kwa aliyeiva katika imani.
.
Ni vijana wangapi wameshika imani katika nyakati hizi?
 
Tuanze na wewe. Ulianza mapenzi kabla ya ndoa au au ndoa kabla ya mapenzi
 
Umeshawapa wahuni wametoboa afu muoaji ndo unampiga pini eti hadi akuoe...

Hao waliotangulia kutoboa ungewapa sharti hilo si ungeshaolewa?
 
Back
Top Bottom