Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

wapo wengi tu ila lazima ukubali utakayempa atakuwa na mtu nje haiwezekani simba mwenye njaa akacheza na swala... kwa lengo la kumfurahisha swala kwa urafiki wao.
 
Duh umri na dini vinakosesha mke!

Nikidanganya?nnn
Mwingine anakujaga kufanya usafi geto,,one day namwambie tupige showtime,😆😆
Ananiambia haiwezekani bila kuoana,,ni dhambi.
Ila ningekuwa dini yake labda angenifikilia,,
Hazijapita siku tatu ananipigia simu anahitaji 20,000
 
Hapo Criterion ya Dini tu!!!!
Pengine pote nimetimia
Sema nini tafuta huko huko chuo utapata ukikosa tulia.
 
Bila Sex hauwezi kupata mume ,kama ni wa kuolewa utaolewa hata jamaa akiwa anasex daily!! Kama ni wife material wewe toa "MZIGO" tu jamaa ataoa.
 
Angalia age gap, wewe utapofikisha umri wa miaka 35 yeye atakuwa na miaka 45, hapo anaanza kuishiwa nguvu za kiume wakati huo wewe ndio unaanza kukolea ukitamani ngono zsana, chukua mtu mwenye 25-26 ili muweze kukaa muda mrefu mkifurahia tendo la ndoa, wanawake wenzako wengi wanapitia hili tatizo kwa sasa la wanaume zao kushindwa kuwaridhisha kwa tendo la ndoa, wako wengi wenye shida hii, nisngependa binti yangu upitie hayo, chukua hatua hatua wakati unajiandaa kupata mchumba. 30 years anaanza vibaya uta enjoy muda mfupi
Si kweli, mwanamke akifika 35 kusema ndo anakua yuko hot? Kwa taarifa yako mwanamke anakuwa hot 18 mpaka around 30 tu. Huko kwingine hata hamu ya mwanaume hana.

Mwanaume 50 anapiga game safi kabisa.
 
Ngoja kwanza nami nikafungue ID mpya ndio nije PM. Hii ya sasa ina matukio mengi ya kuhuzunisha, unaweza kata tamaa.

Ila umri umebana. Mi nna 32
 
Back
Top Bottom