Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Sasa bila kukugegeda nitajuaje kama una miundo mbinu ya viwango ninavyovihitaji, wewe pia utajuaje kama nina miundo mbinu ya standadi geji, matokeo yake tutachokana haraka sana kwa sababu kila mmoja atakutana na kitu ambacho hakukitarajia kwa mwenzake
Kuna shekhe huko Zenji alioa kabinti baada ya siku kadhaa kakamtegeshea tigo. Alikarudisha kwa faster
 
Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.

Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini: Muislamu .
Muonekano: Mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.

SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.

Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate PM.
Duh umri na dini vinakosesha mke!

Vipi Nikidanganya?
 
MAISHA NI UCHAGUZI..

NA UCHAGUZI WOWOTE LAZIMA UKUPENDELEE WEE.

MTOA MADA NI BINTI MDOGO KABISA 21 , KASEMA MWANAUME ASIOMBE SEX MPAKA NDOA.

MABINTI WA AINA HII WAMEKUZWA KWENYE MALEZI YA DINI SANAA KIASI KWAMBA SEX BILA NDOA NI DHAMBI.

SUALA LA YEYE KUTOKUA NA BIKRA AU LAH, HALIMUONDOLEI HAKI YAKE YA KUCHAGUA HILI ALOLICHAGUA.

JE WEEE UNAYEULIZIA BIKRA, HUJAWAH TOMBAA DEMU????.

NAWEE MWANAMKE UNAYEMKEJELI MSCHANA MWENZAKO, UMETOMBWAA NA WANAUME WANGAPI SO FAR LKN HAMNA NDOA ?????.

NADHAN KILA MTU AHESHIMU MISINGI YA SHERIA YAKE

wee kadada ,Komaa ivoivo, Mungu atakuletea Mume wa Aina yako., anaweza kuja huko mbele, nasio lazima muwe mmekaa naye sanaaa kimahusiano., atakuja na Atakuoa tu.
Mkuu, naona unajipigia promo kijanja[emoji12][emoji12]
 
Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.

Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini: Muislamu .
Muonekano: Mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.

SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.

Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate PM.
Yaliyomo yamoooo ?
 
Nomazsama
 
ni vigumu kumpata .....sawa kuwa na king'amuzi kisicho na bando.....mwanaume hutamani kwanza......bila kuonja ni ngumu mnooo....
 
MAISHA NI UCHAGUZI..
NAWEE MWANAMKE UNAYEMKEJELI MSCHANA MWENZAKO, UMETOMBWAA NA WANAUME WANGAPI SO FAR LKN HAMNA NDOA ?????.

NADHAN KILA MTU AHESHIMU MISINGI YA SHERIA YAKE

Hapo Sasa! Ingekua kuonjwa ndio Ticket ya Ndoa basi akina Wema Sepetu, Wolper, Jokate Wangeshaolewa na Wao.
 
Back
Top Bottom