Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Ulishampata?
 
sema watu wajasiri sana kutafuta wapenzi mtandaoni
 
[emoji23][emoji23]vigezo vyote ninavyo Hadi hicho Cha chuo,Wewe ningekuja PM kwako lakini umekosa kigezo kimoja Cha rangi Yani ungekua mweupe aisee hapo ningeleta Hadi barua ya uchumba kwenu
 
Sisi Vibonge na age ya 35+,tukomment wapi??.
 
Mrejesho mtoa mada, vp ulfanikiwa?
 
Kwan Ndoa Hiyo umepanga Lin
Ili nijue navumilia Hadi lini
 
Hahahhaahah!mwanaume asieomba sex ..nakuita Mara tatu...hautompata daima endelea kuwa single tu
 
Kwenye dini na elimu ya chuo hapo nimekosa sifa , ila nilikuwa nahitaji kweli mchmba mpaka kuoa
 
Bikra ipo? Huna mtoto?
 
Na wewe uwe na bikraa sio shimboni kubwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…